Biashara ya duka la rejareja inahitaji roho ngumu



Kwa maduka ya mtaani ukiuza sana faida waweza pata 10000/=ukitaka kupata faida nzuri weka bia..hapo utapata faida nzuri..sukari inafaida ya sh 7500..ss km unauhakika wa kumaliza sukari ndan ya siki 3 hewala..mafuta kupikia faida yake nakumbuka ilikua 5000 ndoo kubwa..ndoo ndg 2400..faida yake uuz yale madumu..unga ngano faida haizid 7000..utanengeneka nao wee kwa 3wks..sembe faida haizid 7000 utakesha nao 2wks..!binafs ht nibembelezwe vipi sitakuja ifanya tena!ukikaa mwanamke dukan utakopwa bia na wanaume balAa then wanaishia kukutongoza😏😏😏!kwenye duka kitu kinacholeta faida ni

1. Mafut ya taa, bia na vinywaji vyote
3. Sigara zote, lakini mchele sijui maharage faida zake hazizidi 300/kama sio wehu ni nn
 
Manengeloo bora wewe unajua faida hii na mchanganuo mzima wengine wanaanza tu wafanye kwa mazoea.
 
Dah...kumbe ulikuwa wewe...maisha bana...mimi bado nipo dukani..palepale[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Beretta ARX 160
 
Dah...kumbe ulikuwa wewe...maisha bana...mimi bado nipo dukani..palepale[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Beretta ARX 160


Hahahaaaa ntakuja kunywa soda hapo Dukani kwako mwezi wa 11.
 
Hahahaaaa ntakuja kunywa soda hapo Dukani kwako mwezi wa 11.
Dah...karibu sana...ila safari hii "tutaandikishiana" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Mbinguni utakusikia kwenye magazeti.
 
Duka kubwa lenye mahitaji muhimu maji wake shingapi?
 
Hii comment nimeiscreenshot aisee
 
Hii comment nimeiscreenshot aisee
 
Maduka rejareja ndio yanayoendesha maisha yangu. Nikiwa kijana bado wa miaka 23. Ila Sasa nataka mwaka huu nifungue biashara tofauti na hii ambayo ninauzoefu nayo mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…