Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mkuu umewahi ifanya hii biashara? Umesoma pia comments/ushauri wa waliotangulia? Naona wewe ni mkataji tamaa mzuri sana. Hii biashara ina faida sana. Sijawahi ifanya ila ina faida kubwa kutokana na utafiti nilioufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maduka ya mtaani ukiuza sana faida waweza pata 10000/=ukitaka kupata faida nzuri weka bia..hapo utapata faida nzuri..sukari inafaida ya sh 7500..ss km unauhakika wa kumaliza sukari ndan ya siki 3 hewala..mafuta kupikia faida yake nakumbuka ilikua 5000 ndoo kubwa..ndoo ndg 2400..faida yake uuz yale madumu..unga ngano faida haizid 7000..utanengeneka nao wee kwa 3wks..sembe faida haizid 7000 utakesha nao 2wks..!binafs ht nibembelezwe vipi sitakuja ifanya tena!ukikaa mwanamke dukan utakopwa bia na wanaume balAa then wanaishia kukutongoza😏😏😏!kwenye duka kitu kinacholeta faida ni
1. Mafut ya taa, bia na vinywaji vyote
3. Sigara zote, lakini mchele sijui maharage faida zake hazizidi 300/kama sio wehu ni nn