BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
Hivi zile friji za kuweka dukani nje kwako unaweka vinywaji kama yorgut,soda,energy yanauzwa sh ngapiMkuu faida ya duka la rejareja ni kati ya 10% hadi 18%. Na hilo ni duka gani uuze 300,000 kwa mwezi? Mi nina duka la mtaji 2 mil nauza kati ya elfu 40 hadi 60 kwa siku pia nina genge nauza elfu 25 hadi 40 kwa siku. Na trend ya msuzo inakuwa positively
Kuuza laki 3 kwa mwezi maana yake unauza elfu 10 kwa siku. Hapo unakuwa ulifungua duka bila kupata ushauri au kupiga hesabu zako vizuri
Walikufanyaje?Acha kabisa. Mimi mara ya kwanza nilifungua Manzese. Ila washirikina walinifanya nifunge nikahamia nilipo sasa.
Prestige ni nini?Sijui mie nimezowea kununua maduka ya wapemba
Na yana wateja
Prestige ni nzuri kuliko blueband
Wanapima kwenye kilo, unanunua ile ndoo unapima ina kilo ngapi unaangalia bei uliyonunulia kisha utaangalia utauzaje upate faida
Hawa watu kwa kukatisha tamaa acha tuKumbuka Mangi wa mjini wanajenga na kuendelea kwa biashara hii hii
Hahahaha cajojo we unajuaje faida tuambieYanii ni mtihanii. Mtoa mada amesepaaa
Mm mpk leo mume wangu ananiambia eti sijapata faida wala nisiweke hela eti ni faida najidamganya so hela zote nazirudisha kwenye kununua bidhaa i mean nanunua na pia naongezea bidhaa mpya. So mpk sasa hivi sijajua ntatoaje faida nilitamani na mm kujua hilo somo
Achaaa nimegundua ukitaka kufanya kitu usiwasikilize watu wengi na ni bora ukatafuta hata ushauri mbali mfn humu JF lakini kwa watu wako wa karibu asilimia kubwa hukatisha tamaa
Mimi nilinunua 1,100,000.Hivi zile friji za kuweka dukani nje kwako unaweka vinywaji kama yorgut,soda,energy yanauzwa sh ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema uko vizuri maana naona and umefikia mpaka kutathmini Break Even PointNilitaka kufanya maamuzi ya haraka na sikuwa na mda wa kusubiri japo kuna waliojitokeza kunisaidia na nawashukuru sana. Sio kwamba sikujua kuwa nitapoteza elfu 40 ila kama kuna mtu angejitokeza na kunipa vitu nilivyotaka sikuwa na hiana kumpa hiyo pesa maana nilishapanga kufanya hivyo na najua angepoteza muda wake na rasilimali kuifanya hivyo.
Unaweza kupercent kabla ya kununua mzigo mpya na kuhifadhi kiasi cha hiyo percent na baada ya mwaka au mwezi....Mm mpk leo mume wangu ananiambia eti sijapata faida wala nisiweke hela eti ni faida najidamganya so hela zote nazirudisha kwenye kununua bidhaa i mean nanunua na pia naongezea bidhaa mpya. So mpk sasa hivi sijajua ntatoaje faida nilitamani na mm kujua hilo somo
Asante mkuuUnaweza kupercent kabla ya kununua mzigo mpya na kuhifadhi kiasi cha hiyo percent na baada ya mwaka au mwezi....
Au, waweza andaa excel sheet na kujua bei ya manunuzi na mauzo ukajua faida......
Au, wengine ufanya kwa kila siku kutenga kiasi pembeni bila kuathili bidhaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema mwanzo kuwa ninatumia programme inaitwa daily sales records, hii ni online programme na kila kijana akiuza anaandika na mimi kazi yangu nikifika dukani ni kuingiza hizo data kwenye programme. Programme inakuwa na bei ya kununulia na bei ya kuuzia hivyo inakuwa rahisi kujua kwa siku umeuza kiasi gani na imekupa faida kiasi gani. Lakini hii haitoshi kujua kama umepata faida siku hiyo, nina daftari la matumizi dukani ambalo hujazwa kila matumizi yanayofanyika dukani. Mfano kama kwa siku nimeuza bidhaa za thamani ya 40,000 na faida labda ikawa 12,000 baada ya kutoa bei ya kununulia then natoa matumizi kwa siku hiyo na hii inanisaidia sana kujua kwa siku nimeingiza kiasi gani. Ikifika mwisho wa mwezi pia nafanya hesabu kwa mwezi maana ninakuwa na data za kila siku hivyo inanirahisishia kujua faida kwa mwezi.Natamani kufahamu unafanya vipi hesabu za dukani kwa ulichouza na kujua kujua faida hasa kama umemweka kijana?unacontrol vipi sales zako za kila siku
Ni rahisi sana. Kwa mtu anayeanza unachotakiwa kujua ni bidhaa hizo umezinunua kwa bei gani (cost of goods) na unatakiwa kuziuza kwa bei gani(sales). Kingine unatakiwa kujua gharama ambazo unaziingia kwa siku kwenye duka (running cost) tofauti na zile za manunuzi ya bidhaa za kuuza. Baada ya hapo kama umeleta mzigo uko dukani andaa stock ya vitu vyote kwenye daftari ikiwa na bei zake za kununulia (cost of goods) na bei za kuuzia(sales price). Hii stock itakupa thamani ya bidhaa ulizonazo dukani. Kila ukiuza andika pembeni hiyo bidhaa na bei yake ya kuuzia kwenye daftari la mauzo na kama kuna gharama umezingia dukani ziandike chini kwenye daftari la matumizi.Hiki kitu kinanishinda hata mimi ndugu yaani kupanga mahesabu kilichotokea, kilichoingia na kilichobaki
Faida hasara na baki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasepa nipo soma majibuYanii ni mtihanii. Mtoa mada amesepaaa
Kuna urahisi sana wa kujua hili soma hapo juuKujua faida kwakwel ni ngumu mno....kujua kama kuna faida n kuangalia maendeleo ya biashara....kwamba vitu vikiisha hela ya kununulia ipo....na pia ukiongeza vitu biashara bado inakuw imesimama
Just hua tunajua faida kwa kuangalia maendleo ya duka....
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hapo juu jinsi ya kujua faida. Ila mume wako atakuwa anakuambia kuwa hujaweza kupata faida kwa maana nyingine. Ili useme umeweza kupata faida ni pale ambako faida unayoipata umerudisha pesa uliyoiwekeza. Mfano mimi niliwekeza 6 million na kwa miezi mitatu ya operation nilikuwa na kiasi cha 800,000 kama faida yaani hapa nimetoa pesa ya manunuzi na gharama za uendeshaji duka.Mm mpk leo mume wangu ananiambia eti sijapata faida wala nisiweke hela eti ni faida najidamganya so hela zote nazirudisha kwenye kununua bidhaa i mean nanunua na pia naongezea bidhaa mpya.
So mpk sasa hivi sijajua ntatoaje faida nilitamani na mm kujua hilo somo
PM wote nimewajibu mbona.Njooni tuelimishane jamani halafu yule mdau alietupa moyo na list ya biashara hataki hata kujibu pm jamani it means yy ameshakua mzoefu sana angekuja kutusaidia
Ni ngumu sana kufanya stock taking dukani labda uwe mtaalam haswa ukimkabidhi fanyeni stock ukiongeza mzigo unaongeza kwenye stock mwisho Wa mwezi mnafunga stock nayo pia itakuwa ngumu maana maduka yanafungwa SAA tano au sita hiyo inamaanisha mkeshe mkifunga stock which ni ngumu ukubali kuibiwa tuNatamani kufahamu unafanya vipi hesabu za dukani kwa ulichouza na kujua kujua faida hasa kama umemweka kijana?unacontrol vipi sales zako za kila siku