Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Sema uko vizuri maana naona and umefikia mpaka kutathmini Break Even Point
Najua utakuwa unasimamia Duka mwenyewe kwa 100% hebu niambie likija suala la business expansion let's say una maduka mengine 2 au 3, ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi sana maana nikiwa nayo mawili au matatu natumia tu accounting software kuweza kumanage hayo maduka na hata hili la sasa mimi siuzi anauza dogo na natumia pia accounting software na tunakwenda vizuri sana. Kikubwa ni kujengana na kujua ni nini mnafanya hata kama anasimamia mtu mwingine.

Jambo la msingi sana ni kuacha uchoyo. Dogo mimi nimemwambia kuwa hii ni biashara yetu ikifanikiwa tunafanikiwa wote ikifa wewe ndo unapata shida maana mimi mbali na hii biashara nina mihangaiko yangu mingine. So tumefanya kama partnership na ana mamlaka ya maamuzi kwenye duka kwa maana ya jinsi ya kuliendeleza.

Huwa tunakuwa na weekly meeting kutathmini week imeendaje kibiashara na huwa tunaandika na minutes kabisa. Biashara ni kanuni na tunalazimika kuzifuata bila hivyo tutafail na mimi sijajiandaa kufail.
 
Wewe unasema ni ngumu mimi ninayefanya sioni ugumu wowote...ninatumia daily sales records online accounting system nimeweka stock zangu zote huko na kila nikiuza inadeduct bidhaa na huwa nafanya physical verifacation kila mwezi. Toa roho huyo mbaya anayefanya ukiri ugumu umweke yule wa kukufanya ukiri urahisi na maisha yatakwenda safi sana.
 

Yani duu nimekua satsfied na nimeelewa mnoo kwa hayo ulioandika tu mm nimeondoka na nondo za kufa mtu. Ubarikiwe mkuu
 
Huna sababu kulipia msaada wa kupata orodha ya bidhaa kuanzisha duka. Nunua bidhaa za kawaida kwa kuangalia maduka jirani. Ukianza kila siku andika hitaji la mteja alilokosa kwako, nenda maduka ya jumla kanunue. Bei maduka ya jumla hazitofautiani ssna.
 
Nashukuru kwa ushauri japo umechelewa ila najua kuna watakaokuja watautumia. Kikubwa mimi sikutaka kuumiza kichwa sana ndo maana kuna watu wanaitwa consultants kwa kazi hizo. Ni njia pia rahisi sana ya kupata taarifa kuliko kupoteza muda mwingi na pengine pesa nyingi. Ila nilifanya mwenyewe kama nilivyosema kwenye post za awali. Njia yako ni nzuri ila itakuchukua muda kidogo na bora uende kwenye maduka ya jumla maana wao wanajua watu wa rejareja wanauza nini na kitu kinachotoka wanakijiua pia. Ndo nilivyofanya mimi na sasa nina miezi sita kwenye biashara mkuu
 
Vipi mwelekeo wa biashara yako kwa sasa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mwelekeo wa biashara yako kwa sasa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujumla inaenda vizuri kuna ups and downs ila ni kawaida. Mwazo wateja walikuwa wanaongezeka kila siku baadae wakawa wanapanda na kushuka na kwa sasa ni kama wamestablize. Naipima hii kwenye mauzo ya siku. So far so good na duka linakua kila siku. Au ulikuwa unataka kujua mwelekeo kwa maana nyingine zaidi ya hiyo?
 
Mimi nimeanza duka mwezi huu wa 3...nitatoa mrejesho vile limeenda baada ya miezi kadhaa... naamini sitashindwa..

Ila nimeamua kuspesholaizi kwenye bidhaa zinazoendana na misosi tu...
Kwa sasa nauza mchele,sembe,dona,ngano,sukari,chumvi,ngano isiyokobolewa,maharage,choroko,karanga,tambi,nazi(azam),mafuta ya kupikia,mayai,etc

Nataka pia kujitanua kuuza vingine pia vinavyolika na kunyweka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio huo huo mkuu endelea kupambana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri sana usisahau kutuletea mrejesho Mwenyezi Mungu Akutangulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duka la reja reja changamoto nyingine ni mkopo hasa kama umefungua uswahilini
 
Nimependa ulivosema hujajiandaa kufail....
 
duh...kumbe na ww unae mume???...jmn mm ntakujaga kuoa nani ss???wazur wote wamewahiwa.... wanafaidi wakubwa
 
akamuibie baba ake,,sio kwangu,,mm huwa cku ya stock duka linafungwa saa 12.00,tunajifungia ndani na hatoki mtu hadi kazi ikamilike,,,kuliko nisifanye stock ni bora tujifungie ndani asbh hadi jioni bila kuuza lkn nijue mali yangu ipoje,,hawa vijana wauzaji wakishakujua hufanyi stock dingii utaibiwa hadi uchanganyikiwe
 
Kaka nategemea kufunga duka rejareja na jumla kwa baadhi ya bidhaa (hasa bidhaa kukubwa si level ya pipi) ....... Una recommended hyo daily sales app kwa accurate stocking, profit na sales records!?? Duka nali run mwenye siweki mtu.....
 
Na how z the progress now aisee kaka
 
Kaka nategemea kufunga duka rejareja na jumla kwa baadhi ya bidhaa (hasa bidhaa kukubwa si level ya pipi) ....... Una recommended hyo daily sales app kwa accurate stocking, profit na sales records!?? Duka nali run mwenye siweki mtu.....
Acha mbwembwe level ya pipi ndo ipi hyo? Utaweza kweli kama ushaanza dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…