Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Sema uko vizuri maana naona and umefikia mpaka kutathmini Break Even Point
Najua utakuwa unasimamia Duka mwenyewe kwa 100% hebu niambie likija suala la business expansion let's say una maduka mengine 2 au 3, ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi sana maana nikiwa nayo mawili au matatu natumia tu accounting software kuweza kumanage hayo maduka na hata hili la sasa mimi siuzi anauza dogo na natumia pia accounting software na tunakwenda vizuri sana. Kikubwa ni kujengana na kujua ni nini mnafanya hata kama anasimamia mtu mwingine.

Jambo la msingi sana ni kuacha uchoyo. Dogo mimi nimemwambia kuwa hii ni biashara yetu ikifanikiwa tunafanikiwa wote ikifa wewe ndo unapata shida maana mimi mbali na hii biashara nina mihangaiko yangu mingine. So tumefanya kama partnership na ana mamlaka ya maamuzi kwenye duka kwa maana ya jinsi ya kuliendeleza.

Huwa tunakuwa na weekly meeting kutathmini week imeendaje kibiashara na huwa tunaandika na minutes kabisa. Biashara ni kanuni na tunalazimika kuzifuata bila hivyo tutafail na mimi sijajiandaa kufail.
 
Ni ngumu sana kufanya stock taking dukani labda uwe mtaalam haswa ukimkabidhi fanyeni stock ukiongeza mzigo unaongeza kwenye stock mwisho Wa mwezi mnafunga stock nayo pia itakuwa ngumu maana maduka yanafungwa SAA tano au sita hiyo inamaanisha mkeshe mkifunga stock which ni ngumu ukubali kuibiwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unasema ni ngumu mimi ninayefanya sioni ugumu wowote...ninatumia daily sales records online accounting system nimeweka stock zangu zote huko na kila nikiuza inadeduct bidhaa na huwa nafanya physical verifacation kila mwezi. Toa roho huyo mbaya anayefanya ukiri ugumu umweke yule wa kukufanya ukiri urahisi na maisha yatakwenda safi sana.
 
Soma hapo juu jinsi ya kujua faida. Ila mume wako atakuwa anakuambia kuwa hujaweza kupata faida kwa maana nyingine. Ili useme umeweza kupata faida ni pale ambako faida unayoipata umerudisha pesa uliyoiwekeza. Mfano mimi niliwekeza 6 million na kwa miezi mitatu ya operation nilikuwa na kiasi cha 800,000 kama faida yaani hapa nimetoa pesa ya manunuzi na gharama za uendeshaji duka.

Hivyo nitaweza kusema nitapata faida pindi hii 800,000 itakapofikia 6,000,001. Nimeweka shilingi 1 maana ndo faida hapo unaanza kuiona. Ukifika hapo ndo panaitwa break even point. So mume wako anaweza kuwa anazungumzia hapa labda hajataka kukuwambia vizuri uelewe. Nini maana ya hii; hii ina maana kwamba unapoanzisha biashara kwa maoni yangu sasa ni lazima biashara uilenge iwe ni ya mda mrefu na sio ya mda mfupi. Ya mda mrefu kwa sababu sio rahisi kuweza kurudisha 6,000,000 kwa miezi miwili au mitatu kwa sababu ni biashara mpya pengine na wateja sio wengi wanaoijua na pia hata wewe hujapata uzoefu wa kuiendesha na kuisoma vizuri.

Ni kipindi ambacho pia utajikuta unaingia tena gharama nyingine kuongezea pesa kutoka mfukoni mwako kipindi ambacho biashara haijaanza kuwa na mzunguko mzuri wa kurudisha gharama zake. Mwambie honey just be patient faida itapatikana tu. Na mwambie hapa ndo na mimi napata mahari pa kwenda kama wewe unavyoenda kazini au kwenye kazi zako nisibaki nyumbani tu.

Yani duu nimekua satsfied na nimeelewa mnoo kwa hayo ulioandika tu mm nimeondoka na nondo za kufa mtu. Ubarikiwe mkuu
 
Wadau naomba kama kuna mtu anafanya biashara ya duka la rejareja kwenye makazi ya watu anisaidie list ya bidhaa dukani nikahemee. Nataka kufungua duna la rejareja mtaani kwangu nimeshaandaa fremu na mambo mingine kilichobaki ni kuchukua mzigo. Unisaidie bidhaa zinazotoka sana dukani. Najua maeneo yanatofautiana ila kwa makazi yetu watu wa wastani na kawaida nadhani mahitaji yetu yanafanana. Duka nalifungua maeneo ya kibamba. Nimetenga milioni 5 ya mzigo na nitashukuru kama utanisaidie na bei za jumla za kuchukua mzigo ili nijue nichukue kiasi gani na mahali unapochukulia pia. Natambua taarifa ni mali, hivyo nimetenga elfu 40 kwa atakaenisaidia hili. Ni PM. I will pay you seriously. Nahitaji anaefanya biashara hii tafadhali.
NB supplier wa unga na mchele nishampata
Huna sababu kulipia msaada wa kupata orodha ya bidhaa kuanzisha duka. Nunua bidhaa za kawaida kwa kuangalia maduka jirani. Ukianza kila siku andika hitaji la mteja alilokosa kwako, nenda maduka ya jumla kanunue. Bei maduka ya jumla hazitofautiani ssna.
 
Nashukuru kwa ushauri japo umechelewa ila najua kuna watakaokuja watautumia. Kikubwa mimi sikutaka kuumiza kichwa sana ndo maana kuna watu wanaitwa consultants kwa kazi hizo. Ni njia pia rahisi sana ya kupata taarifa kuliko kupoteza muda mwingi na pengine pesa nyingi. Ila nilifanya mwenyewe kama nilivyosema kwenye post za awali. Njia yako ni nzuri ila itakuchukua muda kidogo na bora uende kwenye maduka ya jumla maana wao wanajua watu wa rejareja wanauza nini na kitu kinachotoka wanakijiua pia. Ndo nilivyofanya mimi na sasa nina miezi sita kwenye biashara mkuu
 
Vipi mwelekeo wa biashara yako kwa sasa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mwelekeo wa biashara yako kwa sasa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujumla inaenda vizuri kuna ups and downs ila ni kawaida. Mwazo wateja walikuwa wanaongezeka kila siku baadae wakawa wanapanda na kushuka na kwa sasa ni kama wamestablize. Naipima hii kwenye mauzo ya siku. So far so good na duka linakua kila siku. Au ulikuwa unataka kujua mwelekeo kwa maana nyingine zaidi ya hiyo?
 
Mimi nimeanza duka mwezi huu wa 3...nitatoa mrejesho vile limeenda baada ya miezi kadhaa... naamini sitashindwa..

Ila nimeamua kuspesholaizi kwenye bidhaa zinazoendana na misosi tu...
Kwa sasa nauza mchele,sembe,dona,ngano,sukari,chumvi,ngano isiyokobolewa,maharage,choroko,karanga,tambi,nazi(azam),mafuta ya kupikia,mayai,etc

Nataka pia kujitanua kuuza vingine pia vinavyolika na kunyweka...

Ndio huo huo mkuu endelea kupambana

Vizuri sana usisahau kutuletea mrejesho Mwenyezi Mungu Akutangulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duka la reja reja changamoto nyingine ni mkopo hasa kama umefungua uswahilini
 
Nimependa ulivosema hujajiandaa kufail....
Ni rahisi sana maana nikiwa nayo mawili au matatu natumia tu accounting software kuweza kumanage hayo maduka na hata hili la sasa mimi siuzi anauza dogo na natumia pia accounting software na tunakwenda vizuri sana. Kikubwa ni kujengana na kujua ni nini mnafanya hata kama anasimamia mtu mwingine. Jambo la msingi sana ni kuacha uchoyo. Dogo mimi nimemwambia kuwa hii ni biashara yetu ikifanikiwa tunafanikiwa wote ikifa wewe ndo unapata shida maana mimi mbali na hii biashara nina mihangaiko yangu mingine. So tumefanya kama partnership na ana mamlaka ya maamuzi kwenye duka kwa maana ya jinsi ya kuliendeleza. Huwa tunakuwa na weekly meeting kutathmini week imeendaje kibiashara na huwa tunaandika na minutes kabisa. Biashara ni kanuni na tunalazimika kuzifuata bila hivyo tutafail na mimi sijajiandaa kufail.
 
Mm mpk leo mume wangu ananiambia eti sijapata faida wala nisiweke hela eti ni faida najidamganya so hela zote nazirudisha kwenye kununua bidhaa i mean nanunua na pia naongezea bidhaa mpya. So mpk sasa hivi sijajua ntatoaje faida nilitamani na mm kujua hilo somo
duh...kumbe na ww unae mume???...jmn mm ntakujaga kuoa nani ss???wazur wote wamewahiwa.... wanafaidi wakubwa
 
Ni ngumu sana kufanya stock taking dukani labda uwe mtaalam haswa ukimkabidhi fanyeni stock ukiongeza mzigo unaongeza kwenye stock mwisho Wa mwezi mnafunga stock nayo pia itakuwa ngumu maana maduka yanafungwa SAA tano au sita hiyo inamaanisha mkeshe mkifunga stock which ni ngumu ukubali kuibiwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
akamuibie baba ake,,sio kwangu,,mm huwa cku ya stock duka linafungwa saa 12.00,tunajifungia ndani na hatoki mtu hadi kazi ikamilike,,,kuliko nisifanye stock ni bora tujifungie ndani asbh hadi jioni bila kuuza lkn nijue mali yangu ipoje,,hawa vijana wauzaji wakishakujua hufanyi stock dingii utaibiwa hadi uchanganyikiwe
 
Wewe unasema ni ngumu mimi ninayefanya sioni ugumu wowote...ninatumia daily sales records online accounting system nimeweka stock zangu zote huko na kila nikiuza inadeduct bidhaa na huwa nafanya physical verifacation kila mwezi. Toa roho huyo mbaya anayefanya ukiri ugumu umweke yule wa kukufanya ukiri urahisi na maisha yatakwenda safi sana.
Kaka nategemea kufunga duka rejareja na jumla kwa baadhi ya bidhaa (hasa bidhaa kukubwa si level ya pipi) ....... Una recommended hyo daily sales app kwa accurate stocking, profit na sales records!?? Duka nali run mwenye siweki mtu.....
 
Kwa ujumla inaenda vizuri kuna ups and downs ila ni kawaida. Mwazo wateja walikuwa wanaongezeka kila siku baadae wakawa wanapanda na kushuka na kwa sasa ni kama wamestablize. Naipima hii kwenye mauzo ya siku. So far so good na duka linakua kila siku. Au ulikuwa unataka kujua mwelekeo kwa maana nyingine zaidi ya hiyo?
Na how z the progress now aisee kaka
 
Kaka nategemea kufunga duka rejareja na jumla kwa baadhi ya bidhaa (hasa bidhaa kukubwa si level ya pipi) ....... Una recommended hyo daily sales app kwa accurate stocking, profit na sales records!?? Duka nali run mwenye siweki mtu.....
Acha mbwembwe level ya pipi ndo ipi hyo? Utaweza kweli kama ushaanza dharau
 
Back
Top Bottom