Mkomamazu
Member
- Aug 15, 2018
- 48
- 192
Ni rahisi sana maana nikiwa nayo mawili au matatu natumia tu accounting software kuweza kumanage hayo maduka na hata hili la sasa mimi siuzi anauza dogo na natumia pia accounting software na tunakwenda vizuri sana. Kikubwa ni kujengana na kujua ni nini mnafanya hata kama anasimamia mtu mwingine.Sema uko vizuri maana naona and umefikia mpaka kutathmini Break Even Point
Najua utakuwa unasimamia Duka mwenyewe kwa 100% hebu niambie likija suala la business expansion let's say una maduka mengine 2 au 3, ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo la msingi sana ni kuacha uchoyo. Dogo mimi nimemwambia kuwa hii ni biashara yetu ikifanikiwa tunafanikiwa wote ikifa wewe ndo unapata shida maana mimi mbali na hii biashara nina mihangaiko yangu mingine. So tumefanya kama partnership na ana mamlaka ya maamuzi kwenye duka kwa maana ya jinsi ya kuliendeleza.
Huwa tunakuwa na weekly meeting kutathmini week imeendaje kibiashara na huwa tunaandika na minutes kabisa. Biashara ni kanuni na tunalazimika kuzifuata bila hivyo tutafail na mimi sijajiandaa kufail.