Hahaahaaaaaa.... Duuuh! Naomba kupumua asieee mana umenishushua mbayaaa..... Asantee ila si kwamba nimedharau....... Machejo tuuuAcha mbwembwe level ya pipi ndo ipi hyo? Utaweza kweli kama ushaanza dharau
Afadhali hujanimindHahaahaaaaaa.... Duuuh! Naomba kupumua asieee mana umenishushua mbayaaa..... Asantee ila si kwamba nimedharau....... Machejo tuuu
Kutrack mauza ,faida kwa kila Sikh ni ngusa , ila labda kwa kila mwanzo/ mwisho wa mwezi unapoenda kufanya shopping nakili purchasing price na saling price na profit na expenses zingine hala mwisho wa mwezi au mwazo tafuta let profit au let loss.
Kutrack ni kufuatilia wewe mama.Mkuu unatumia Google translation
Kutrack ni kufuatilia wewe mama.
Naomba kuuliza, na saling price ni nini mkuu?Kutrack ni kufuatilia wewe mama.
Hii nayo nzuri, shukran kwa technique. By the way assumption yako nn had kufanya hvyo au uligundua nn had kutumia mfumo huo mkuu.Mkuu mi nachofanya mauzo ya 1000 hadi 50000 naweka elf 10 faida 40 iloyobaki narudisha bidhaa. 50000 hadi laki na nusu, 20000 naweka faida kuanzia laki na nusu kuendelea naweka 25000 kama faida kisha zunazobaki narudisha bidhaa.angalau mwezi unapofika naona faida na duka vitu vipo na vingine vipya naongeza
Kuna mtu kaniambia kuwa kuna software inaitwa ONIMAS kama sijakosea pia MyShop, hz zipoje kwa mwenye uzoefu nazo na kama kuna nyingine dondosha hapa.
Mkuu umepoteakabisa kwenye jukwaa la celebrity, nini shidaKikubwa kaa mwenyewe dukani usimuachie mtu.
You guys are fun!!! so you keep asking for my progress. By the way so far so good and I see the future will hold well. Please, take all the advises in this thread into action if you are real serious. Don't keep your eye on my business, it will not help you.Na how z the progress now aisee kaka
Tafuta fremu fungua duka....nenda TRA kaombe TIN number (siku moja tu unapata), watakupa tax clearance nenda halmashauri kaomba leseni ya biashara ndani ya siku saba unapata na gharama ni 70,000 tu. Then waulize hapo halmashauri bibi afya yuko wapi ili wakupe certificate ya afya maana wanasumbua baadae kama huna cheti cha afya. Kwangu walikuja wanataka kunipiga faini eti kwanini nauza unga na maharage sina cheti cha afya uduanzi kabisa. Ila niliwafuata wakanipa. Then pale dukani nunua dust bin la uchafu la kuweka maganda ya pipi, chupa za maji nini nakadharika ili wasije jamaa kukupiga faini maana siku hizi pesa baba inatafutwa kama nini. Then fungua duka kula vichwa hapo....mambo ya kisheria yameishai hapo. Kitambulisho mimi sikuchukua maana mtaji wangu ni zaidi ya milioni 4 kwa mwaka na wala sitaki umasikini na kusumbuana na watu.Jaman wadau wa duka nimeona nirud tena hapa bila kuanzisha uzi mwngine. Naomba kujua procedure za kisheria kabla au baada ya Kufungua duka langu. Mana nategemea kufungua soon.
Pili naomba kujua, Mchakato wa kupata kitambulisho cha mjasiriamal/mfanyabiashara mdogo (vimembilisho vya magufulili) Sombody lem know plz.
Asanten