Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Acha mbwembwe level ya pipi ndo ipi hyo? Utaweza kweli kama ushaanza dharau
Hahaahaaaaaa.... Duuuh! Naomba kupumua asieee mana umenishushua mbayaaa..... Asantee ila si kwamba nimedharau....... Machejo tuuu
 
Jaman wadau wa duka nimeona nirud tena hapa bila kuanzisha uzi mwngine. Naomba kujua procedure za kisheria kabla au baada ya Kufungua duka langu. Mana nategemea kufungua soon.

Pili naomba kujua, Mchakato wa kupata kitambulisho cha mjasiriamal/mfanyabiashara mdogo (vimembilisho vya magufulili). Sombody lem know plz.

Asanten
 
Habari wanaJF,

Naomba kujua kutoka kwa wazoefu na wajuvi wa mambo hayaaa. Nahitaji kujua namna ya kurekod/ kutrak/kufuatilia au kujua faida na hasara katika duka la rejareja hasa unapokuwa na wateja wengi.

Asanteni
 
Kwa duka LA rejareja ni vigumu asee..cha msingi kuwa makini katika mahemezi, mauzo, mapato na matumizi ya lazima kibinadamu, hapo unapanuka kimtaji sababu bidhaa nyinyi faida ni 10%,20% mpaka 30% basi.
 
Kutrack mauza, faida kwa kila Sikh ni ngusa, ila labda kwa kila mwanzo/ mwisho wa mwezi unapoenda kufanya shopping nakili purchasing price na saling price na profit na expenses zingine hala mwisho wa mwezi au mwazo tafuta let profit au let loss.
 
Mkuu unatumia Google translation
Kutrack mauza ,faida kwa kila Sikh ni ngusa , ila labda kwa kila mwanzo/ mwisho wa mwezi unapoenda kufanya shopping nakili purchasing price na saling price na profit na expenses zingine hala mwisho wa mwezi au mwazo tafuta let profit au let loss.
 
Mkuu mi nachofanya mauzo ya 1000 hadi 50000 naweka elf 10 faida 40 iloyobaki narudisha bidhaa. 50000 hadi laki na nusu, 20000 naweka faida kuanzia laki na nusu kuendelea naweka 25000 kama faida kisha zunazobaki narudisha bidhaa.angalau mwezi unapofika naona faida na duka vitu vipo na vingine vipya naongeza.
 
Mkuu mi nachofanya mauzo ya 1000 hadi 50000 naweka elf 10 faida 40 iloyobaki narudisha bidhaa. 50000 hadi laki na nusu, 20000 naweka faida kuanzia laki na nusu kuendelea naweka 25000 kama faida kisha zunazobaki narudisha bidhaa.angalau mwezi unapofika naona faida na duka vitu vipo na vingine vipya naongeza
Hii nayo nzuri, shukran kwa technique. By the way assumption yako nn had kufanya hvyo au uligundua nn had kutumia mfumo huo mkuu.
 
Kuna mtu kaniambia kuwa kuna software inaitwa ONIMAS kama sijakosea pia MyShop, hz zipoje kwa mwenye uzoefu nazo na kama kuna nyingine dondosha hapa.
 
Na how z the progress now aisee kaka
You guys are fun!!! so you keep asking for my progress. By the way so far so good and I see the future will hold well. Please, take all the advises in this thread into action if you are real serious. Don't keep your eye on my business, it will not help you.
 
Jaman wadau wa duka nimeona nirud tena hapa bila kuanzisha uzi mwngine. Naomba kujua procedure za kisheria kabla au baada ya Kufungua duka langu. Mana nategemea kufungua soon.

Pili naomba kujua, Mchakato wa kupata kitambulisho cha mjasiriamal/mfanyabiashara mdogo (vimembilisho vya magufulili) Sombody lem know plz.

Asanten
Tafuta fremu fungua duka....nenda TRA kaombe TIN number (siku moja tu unapata), watakupa tax clearance nenda halmashauri kaomba leseni ya biashara ndani ya siku saba unapata na gharama ni 70,000 tu. Then waulize hapo halmashauri bibi afya yuko wapi ili wakupe certificate ya afya maana wanasumbua baadae kama huna cheti cha afya. Kwangu walikuja wanataka kunipiga faini eti kwanini nauza unga na maharage sina cheti cha afya uduanzi kabisa. Ila niliwafuata wakanipa. Then pale dukani nunua dust bin la uchafu la kuweka maganda ya pipi, chupa za maji nini nakadharika ili wasije jamaa kukupiga faini maana siku hizi pesa baba inatafutwa kama nini. Then fungua duka kula vichwa hapo....mambo ya kisheria yameishai hapo. Kitambulisho mimi sikuchukua maana mtaji wangu ni zaidi ya milioni 4 kwa mwaka na wala sitaki umasikini na kusumbuana na watu.

Ajabu juzi walikuja watu wa halmashauri ya ubungo wakawa wamejaza form eti wanasema nauza duka bila kulipa service levy. Na wakawa wamesaini kwenye karatasi eti nimekubali nilipe faini 380,0000/-. Nikawaambia kuwa kwa nini mimi nilikuja kuomba leseni pale Halmashauri hamkuniambia kuhusu mambo ya service levy? na iweje wewe usaini siani yako kwa kuandika jina langu alafu useme mimi nimekubali.

Nikawaambia kuwa utaratibu ni nyie kunipa elimu alafu niende kama natakiwa kulipa service levy nilipe sio kuja na kunitisha na makaratasi mengi alafu unataka pesa on the spot 380,000/-. Tulizinguana wakaondoka hawajarudi mpaka leo na wala sijui kama natakiwa kulipa service levy au la!!! Ila acheni bana wafanyabiashara wanateswa na hawa watu wanajiita manispaa duhhhh....ila nakomaa nao tu ninapoelewa tunaenda sawa nisipoelewa mtiti kweli kweli mpaka nielewe....huwa sitoi pesa hivi hivi
 
Back
Top Bottom