Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Jaman mirejesho tujue tangu 2019 mafanikio ya biashara zenu zimefikia wapi ili nasi tupate courage
 
Jaman mirejesho tujue tangu 2019 mafanikio ya biashara zenu zimefikia wapi ili nasi tupate courage
Kwa upande wangu,nilianza 2018 mwishoni Ila mwakani kwenye mwezi wa 07,nafungua naenda kufanya Mambo mengine
 
Hukuwa na mpangilio mzuri tu, kwanini ufunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni mfanyabiashara? Unamtaji kiasi gani? Mipango yako ni ipi?
Mimi nimefika point nikaona inatosha,duka la reja reja ukiwa na mtaji mdogo utateseka Sana,wakati unapambana kulinda wateja watakuja wengine wenye mitaji mikubwa zaidi ya wewe,watakuja pia wenye mitaji sawa na wewe pia mnaanza kupambana,ukiwa unapambana kukuza mtaji uwe mkubwa zaidi zinakuja unfortunate zingine unayumba ,xo kwa mda huu nilikaa nikatafakali nilichoamua ni kuanza kujiwekeza sehem zingine,ili nitapoacha hapa niwenimefanya hiki na kile,unataka kufanikiwa ziadi kwenye hii biashara uwe na mtaji mkubwa,pia ubunifu zaidi mim watu wengi hapa mtaani wananiiga nikileta hiki wapo na wao ngoja nap watumie akili zao
 
Xaxa wewe fanya biashara,ukiwa unafurahi kuona duka limejaa tu,na akiba kidogo tuje kukuuliza umefanya nin kipindi chote,utuonyeshe frem imejaa kuwa ni sifa,itaenda miaka na miaka una duka tu alafu kunatokea changes in situation unaanza kula mtaji taratibu
 
Mkuu kwa mtazamo wako ni mtaji kiasi gani unaona ni sahihi kwa duka la aina hiyo?
 
Mkuu kwa mtazamo wako ni mtaji kiasi gani unaona ni sahihi kwa duka la aina hiyo?
Ni swali gum Sana boss wangu,unaweza anza na kiasi chochote ukiwa na vitu vile muhim,ambavyo mtu akimka asubuhi mpaka jioni atavihitaji,Basi unaweza anza Safari kitakachohitajika ni subira yako Sasa.
Pia kwenye swala la mtaji pia inategemea wewe unaenda kufanya wapi biashara,je! Hiyo sehem wewe ni mtu wa ngapi unafanya hicho kitu,uliowakuta Wana mtaji kiasi gani? Je! Utaweza kushindana nao,pia he hao unaoshindana nao Wana side hustle au wanategemea duka tu,km wanategea duka ni rahisi kupambana nao maana hata wakienda kukopa Basi hawewezi kuja na kiasi kikubwa hawawezi kushusha Bei ili kuleta ushindani,wafanyakazi Hawa waga wanamambo ya waki anaweza shusha Bei ili tu akukomoe,km hiyo sehem wewe upo peke yako ni wewe Sasa na uvumilivu wako,nakuwa sharp kuleta vitu ninavyouliziwa hapo ndo mtaji utakapokua
 
Mkuu kiukweli haujanibu kwasababu mimi binafzi nafanya biashara fulani na ukiniuliza kuhusu biashara yangu kuwa mtaji sahihi kuanza nao ili duķa liwe na kila kitu nitakujibu kwasababu biashara ni fact
 
Mkuu kwa mtazamo wako ni mtaji kiasi gani unaona ni sahihi kwa duka la aina hiyo?
Ni swali gum Sana boss wangu,unaweza anza na kiasi chochote ukiwa na vitu vile muhim,ambavyo mtu akimka asubuhi mpaka jioni atavihitaji,Basi unaweza anza Safari kitakachohitajika ni subira yako Sasa.
Pia kwenye swala la mtaji pia inategemea wewe unaenda kufanya wapi biashara,je! Hiyo sehem wewe ni mtu wa ngapi unafanya hicho kitu,uliowakuta Wana mtaji kiasi gani? Je! Utaweza kushindana nao,pia he hao unaoshindana nao Wana side hustle au wanategemea duka tu,km wanategea duka ni rahisi kupambana nao maana hata wakienda kukopa Basi hawewezi kuja na kiasi kikubwa hawawezi kushusha Bei ili kuleta ushindani,wafanyakazi Hawa waga wanamambo ya waki anaweza shusha Bei ili tu akukomoe,km hiyo sehem wewe upo peke yako ni wewe Sasa na uvumilivu wako,nakuwa sharp kuleta vitu ninavyouliziwa hapo ndo mtaji utaka
Mkuu kiukweli haujanibu kwasababu mimi binafzi nafanya biashara fulani na ukiniuliza kuhusu biashara yangu kuwa mtaji sahihi kuanza nao ili duķa liwe na kila kitu nitakujibu kwasababu biashara ni fact
Unaposema kila kitu,hapo ndo kazi inapoanza Ila angalau Basi ununue mzigo wa 1.5 m,kwasababu kwa sahizi thamani ya pesa imeshuka,,vitu vimepanda Bei hela nyingi itaenda kwenye vitu vya kupima km unga,sukali,mchele
 
Ukweli ni kwamba biashara yoyote ile inahitaji mtaji wa wateja kwanza(mzunguko wa uhakika) hapa hata uwe unauza karanga za kufunga pesa utaiona tu
 
Atakuwa amerogwa
 
Kufunga stock maana yake nini?
 
Ni miaka mitano sasa tupe mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…