Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Embu weka hapa hiyo appWewe unasema ni ngumu mimi ninayefanya sioni ugumu wowote...ninatumia daily sales records online accounting system nimeweka stock zangu zote huko na kila nikiuza inadeduct bidhaa na huwa nafanya physical verifacation kila mwezi. Toa roho huyo mbaya anayefanya ukiri ugumu umweke yule wa kukufanya ukiri urahisi na maisha yatakwenda safi sana.
Vitu kama Michele , unga ,sukari ,utajuaje kama umepigwa?akamuibie baba ake,,sio kwangu,,mm huwa cku ya stock duka linafungwa saa 12.00,tunajifungia ndani na hatoki mtu hadi kazi ikamilike,,,kuliko nisifanye stock ni bora tujifungie ndani asbh hadi jioni bila kuuza lkn nijue mali yangu ipoje,,hawa vijana wauzaji wakishakujua hufanyi stock dingii utaibiwa hadi uchanganyikiwe
Wazo zuri.Mkuu kama hutajali tengeneza group la whatsapp iwe rahisi kupeane updates mbalimbali kama bidhaa, bei zake na machimbo ya kupata bidhaa kwa bei nzuri
πππππππππNITAJIE MTAA ULIOPO ILI NA MIMI NIJE KUFUNGUA KWA PEMBENI YAKO ILI TUCHANGAMSHE KIJIWE- WAJE WATEJA WENGI!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππππNITAJIE MTAA ULIOPO ILI NA MIMI NIJE KUFUNGUA KWA PEMBENI YAKO ILI TUCHANGAMSHE KIJIWE- WAJE WATEJA WENGI!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni miaka minne sasa ,tupe mrejesho.Kama nilivyosema nilianza tarehe 15 mwezi wa pili ..... Siku zote kwenye biashara kama hizi location ndio huwa jambo la maana, nilitafuta sehemu nzuri nikiwa nmetulia nikapata mambo sio haba kila siku ya graph yangu ya mauzo inazidi kupanda [emoji120]
Nimefungua min super market.....Ni miaka mitano sasa tupe mrejesho.
Kwa kupitia duka la awali au ni mtaji mpya kabisa?Nimefungua min super market.....