Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

Wewe unasema ni ngumu mimi ninayefanya sioni ugumu wowote...ninatumia daily sales records online accounting system nimeweka stock zangu zote huko na kila nikiuza inadeduct bidhaa na huwa nafanya physical verifacation kila mwezi. Toa roho huyo mbaya anayefanya ukiri ugumu umweke yule wa kukufanya ukiri urahisi na maisha yatakwenda safi sana.
Embu weka hapa hiyo app
 
akamuibie baba ake,,sio kwangu,,mm huwa cku ya stock duka linafungwa saa 12.00,tunajifungia ndani na hatoki mtu hadi kazi ikamilike,,,kuliko nisifanye stock ni bora tujifungie ndani asbh hadi jioni bila kuuza lkn nijue mali yangu ipoje,,hawa vijana wauzaji wakishakujua hufanyi stock dingii utaibiwa hadi uchanganyikiwe
Vitu kama Michele , unga ,sukari ,utajuaje kama umepigwa?
 
Kama nilivyosema nilianza tarehe 15 mwezi wa pili ..... Siku zote kwenye biashara kama hizi location ndio huwa jambo la maana, nilitafuta sehemu nzuri nikiwa nmetulia nikapata mambo sio haba kila siku ya graph yangu ya mauzo inazidi kupanda [emoji120]
Ni miaka minne sasa ,tupe mrejesho.
 
Back
Top Bottom