Sawa mkuukule kuna
kuna verified suppliers hao ndo niliowafatilia
Partner wa nini sasa kama una boom? 200k ukidunduliza huipati kwani?ndio boom ninalo...yah natafuta kaka
Partner wa nini sasa kama una boom? 200k ukidundu toliza huipati kwani?
partner kweny swal la marketing pia kuna sehem yey anawez fany branding mm nisiwez mfn kweny facebook na whatsapp groups za watu anao wafahamPartner wa nini sasa kama una boom? 200k ukidunduliza huipati kwani?
well said ngoja nijarb kufany ivoKabla hujaenda alibaba umewahi kwenda maduka ya jumla ya hivyo vitu kwa hapa Tanzaia?
Umejaribu kuuza ?
Unajua changamoto zake ni zipi na zipi?
Chukua ushauri huu acha kuruka hatua.
Tafuta suppliers kwa hapa Tanzania kama ni kariakoo kisha chukua mzigo kidogo, ukaone ugumu na urahisi wa soko, ukiona biashara ina uelekeo mzuri na inakua kwa kasi, ndio uanze kufikiria huko alimama sijui alibaba.
Kingine urahisi wa bei unapumbaza, hivyo vitu unavyoona vya dolar moja inategemea unamuuzia nani, kama unawazuia wanachuo wenzio lawama unatafuta, zile usb cables na chargers wanauza wamachinga nadhani unajua quality zao, na watu wanaowauzia ni wa njiani wapitaji, kikifa mtu kurudisha ni ngumu.
Kweli tupu, niliuziwaga flash gb 32 bei cheeKingine urahisi wa bei unapumbaza, hivyo vitu unavyoona vya dolar moja inategemea unamuuzia nani, kama unawazuia wanachuo wenzio lawama unatafuta, zile usb cables na chargers wanauza wamachinga nadhani unajua quality zao, na watu wanaowauzia ni wa njiani wapitaji, kikifa mtu kurudisha ni ngumu.
[emoji23][emoji23]Kweli tupu, niliuziwaga flash gb 32 bei chee
Nikaona nimepata
Ile flash nyimbo zikizidi 20 zinapoteana hapo ndani [emoji2]
calculator si tu wanachuo ata watot wa secondary wanatumiaAchana na hayo ma earpods, na ma calculator yamejaa sana mtaani na nadhani umepanga uwauzie wanachuo wenzako hapo utakula loss tu maana wanachuo wana low purchasing power.
Fanya biashara ambayo haitegemei wanachuo,target market yako iwe raia wa kawaida wenye vipato vyao
Tafuta something unique Aliexpress vipo vingi tu, Achana na Alibaba maana shipping cost ni gharama sana tumia Aliexpress vitu vipo bei chee na usafiri ni cheap pia
Narudia tena tafuta kitu unique
ungenip mfano wa Kitu unique ingependezAchana na hayo ma earpods, na ma calculator yamejaa sana mtaani na nadhani umepanga uwauzie wanachuo wenzako hapo utakula loss tu maana wanachuo wana low purchasing power.
Fanya biashara ambayo haitegemei wanachuo,target market yako iwe raia wa kawaida wenye vipato vyao
Tafuta something unique Aliexpress vipo vingi tu, Achana na Alibaba maana shipping cost ni gharama sana tumia Aliexpress vitu vipo bei chee na usafiri ni cheap pia
Narudia tena tafuta kitu unique
Ni yale yale wana low consumption power na hata hizo calculator wanatumia kipindi cha mitihani kwa msimucalculator si tu wanachuo ata watot wa secondary wanatumia
Vitu ambavyo havijazagaa sana hapa kwetu bongo...Tenga muda wako Humo Aliexpress fanya research utangundua kuna vitu vingi sana bongo havipo na ukivileta watu watanunua na ukapata profit nzuri tuungenip mfano wa Kitu unique ingependez
sawa kakaVitu ambavyo havijazagaa sana hapa kwetu bongo...Tenga muda wako Humo Aliexpress fanya research utangundua kuna vitu vingi sana bongo havipo na ukivileta watu watanunua na ukapata profit nzuri tu
Faida ya kitu unique ambacho hakijazagaa sana ni unaweza ukauza kwa super profit maana hamna bei elezekezi tofauti na vitu vilivyozaga sana mfano hizo smartwatch zipo kibao,earpods ndo usiseme kila mtu anazo na bei yake inajulikana
Kanuni ni ile ile Too much circulation in the market drops the price down and vice versa
Hata mimi nipo nasoma chuo bro na nafanya practically ninachokuambia hapo juu na faida naiona
Kama vipi njoo Pm tu exchange ideas bro