Biashara ya electronic devices ndogo ndogo

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
600
Reaction score
510
Habarini Wana JF.

Mimi ni kijan wa miaka 22 ni mwanachuo nimekuja na wazo la kuanzia biashara ya devices ndogo ndogo za electronics kam scientific calculators,smart watch na airpods.... nilijarb kutembelea site ya alibaba nimeon zinauzwa bei nafuu Sana $1-$3 maximum for scientific calculators huku Tanzania ni unauza mpk $4.5 so nilikuw nahitaj mtu wa kusapotian nae kweny hili kweny marketing au tukawa business partners tunaweza anza kwa mtaji ata laki 2....Natanguliza shukran
 
Una boom? Huyo partner ndio unamtafutia huku JF? Au sijaelewa
 
Kabla hujaenda alibaba umewahi kwenda maduka ya jumla ya hivyo vitu kwa hapa Tanzaia?

Umejaribu kuuza ?

Unajua changamoto zake ni zipi na zipi?

Chukua ushauri huu acha kuruka hatua.

Tafuta suppliers kwa hapa Tanzania kama ni kariakoo kisha chukua mzigo kidogo, ukaone ugumu na urahisi wa soko, ukiona biashara ina uelekeo mzuri na inakua kwa kasi, ndio uanze kufikiria huko alimama sijui alibaba.

Kingine urahisi wa bei unapumbaza, hivyo vitu unavyoona vya dolar moja inategemea unamuuzia nani, kama unawazuia wanachuo wenzio lawama unatafuta, zile usb cables na chargers wanauza wamachinga nadhani unajua quality zao, na watu wanaowauzia ni wa njiani wapitaji, kikifa mtu kurudisha ni ngumu.
 
well said ngoja nijarb kufany ivo
 
Kingine urahisi wa bei unapumbaza, hivyo vitu unavyoona vya dolar moja inategemea unamuuzia nani, kama unawazuia wanachuo wenzio lawama unatafuta, zile usb cables na chargers wanauza wamachinga nadhani unajua quality zao, na watu wanaowauzia ni wa njiani wapitaji, kikifa mtu kurudisha ni ngumu.
Kweli tupu, niliuziwaga flash gb 32 bei chee
Nikaona nimepata
Ile flash nyimbo zikizidi 20 zinapoteana hapo ndani 😃
 
Achana na hayo ma earpods, na ma calculator yamejaa sana mtaani na nadhani umepanga uwauzie wanachuo wenzako hapo utakula loss tu maana wanachuo wana low purchasing power.

Fanya biashara ambayo haitegemei wanachuo,target market yako iwe raia wa kawaida wenye vipato vyao

Tafuta something unique Aliexpress vipo vingi tu, Achana na Alibaba maana shipping cost ni gharama sana tumia Aliexpress vitu vipo bei chee na usafiri ni cheap pia

Narudia tena tafuta kitu unique
 
calculator si tu wanachuo ata watot wa secondary wanatumia
 
Achana na hayo ma earpods, na ma calculator yamejaa sana mtaani na nadhani umepanga uwauzie wanachuo wenzako hapo utakula loss tu maana wanachuo wana low purchasing power.

Fanya biashara ambayo haitegemei wanachuo,target market yako iwe raia wa kawaida wenye vipato vyao

Tafuta something unique Aliexpress vipo vingi tu, Achana na Alibaba maana shipping cost ni gharama sana tumia Aliexpress vitu vipo bei chee na usafiri ni cheap pia

Narudia tena tafuta kitu unique
ungenip mfano wa Kitu unique ingependez
 
ungenip mfano wa Kitu unique ingependez
Vitu ambavyo havijazagaa sana hapa kwetu bongo...Tenga muda wako Humo Aliexpress fanya research utangundua kuna vitu vingi sana bongo havipo na ukivileta watu watanunua na ukapata profit nzuri tu

Faida ya kitu unique ambacho hakijazagaa sana ni unaweza ukauza kwa super profit maana hamna bei elezekezi tofauti na vitu vilivyozaga sana mfano hizo smartwatch zipo kibao,earpods ndo usiseme kila mtu anazo na bei yake inajulikana

Kanuni ni ile ile Too much circulation in the market drops the price down and vice versa

Hata mimi nipo nasoma chuo bro na nafanya practically ninachokuambia hapo juu na faida naiona

Kama vipi njoo Pm tu exchange ideas bro
 
sawa kaka
 
Back
Top Bottom