Ikwa na vifaa vya kutosha kama vile dumbbells uzito tofauti hata seti 5 , bench 2 za chest, za triceps, z bar za biceps...
Zingatia na watu wa aerobics hasa wakina dada jkiweza kuwateka itapendeza zaidi...
Maana hawa hufanya mazoez siku mbili tatu na kupotea wakipata maumivu[emoji23][emoji23] inabidi uwape elimu kadri wanavyofanya ndio mwili huzoea!
Bjnafsi iwe local gym , au ya kisasa zowte zinalipa kila moja kutokana na uwekezaji wake.
Za kisasa bei kiwango cha chini ni kati ya Tshs 10,000 /siku , 150,000/mwezi.
Local gym bei kiwango cha chini ni kati ya Tshs 2,000 /siku , 30,000/mwezi.
Ni biashara inayolipa sana, ukisimamia vizuri
Vifaa vya kutosha , marketing nzuri, mazingira mazuri ya kufanyia mazoezi.
Inalipa kuliko hata mtu aliyejenga vyumba vitano uswazi akodishe kwa Tshs 50,000/=
Maintenance yake ni ndogo , local gym utahitaji si chini ya 3mil+ kwa kuanzia