Biashara ya gym, vifaa vyake na changamoto zake

Mkuu nilikuwa naomba Kama inawezekana ungeniwekea Na Bei zake kabisa but all in all nashukuru Sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji2533][emoji120]
 
umeongea point sana mkuu, watu wanashauri gym kubwa sababu hawajui cost zahayo mambo. mfno kuna mtu amezungumzia kuhusu kununua vyuma full set vya bench press ambayo kasema nikama 105kg bila kufafanua garama zake. manake kg1 ya plate hzo zachuma inaanzia 10,000 mpaka 14,000 tegemea na brand pamoja namaterial(rubber/iron)

barbell/fimbo ni 100,000 mpaka 160,000

hio bench press inaanzia 700,000 mpaka 1,000,000 nazaid

kwahiyo moja tu hapo cost yake inafikia million 2 au zaid, kwahesabu hio anamaanisha kuweza kufungua hio gym itacost zaid ya 20 million. kama nikwalengo lauwekazaji atakua yuko sahihi sababu kiuhalisia return on investment(RTO) itakua nindogo mno ila kma sio muekazaji anataka kutengeza kafaida ka 800k 1million kwa mwezi atumie njia hio uliotumia au kama atapenda anaweza kunichek nitampa mchanganuo zaid na tricks zakuwin hio biashara
 
Mkuu nilikuwa naomba Kama inawezekana ungeniwekea Na Bei zake kabisa but all in all nashukuru Sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji2533][emoji120]
Bongo sijui mahali unaweza kupata lakini kwa mahali kama Dubai kuna supplier kibao wanaweza kukuuzia kwa bei ya jumla kulingana na set unayotaka na pia wanaweza kukufanyia custom clearance kutokana na ukubwa wa mzigo
 
Ni kweli hapa itategemea zaidi na muhusika amejipanga vipi, kufnguwa gym ya standard ipi...!
 
We nadhani ujawaia kufanya hata ayo mazoezi yenyewe,, gym zinalipa, ila Gym fungulia uswazi fulani, sio hizi ambazo babkubwa sana ,, fungulia uswahilini ndio unapiga pesa
Huko huwaje gharama zake Mzee tupeane uzoefu kidogo
 
Huu uzi nimeupenda. Natamani na mimi huko mbeleni niwekeze kwenye hii biashara
Hii ni very good investment, ukiwa na uelewa mzuri wa hii biashara, huduma bora na usimamizi
 
Naona hapa mnataja tu gharama ya vifaa vya Gym bila ya kutaja mjengo,ina maana mjengo utapanga au utajenga?kama utapanga sidhani kama itakulipa kivile labda ujenge,kama issue ni kujenga napo utajengea maeneo gani,maana wateja wa Gym wengi ni watu wa katikati ya miji,ukisema ununue kiwanja Kibaha au mlandizi au Mkuranga ndio ujenge Gym ujuwe imekula kwako,kifupi ili ikulipe unahitaji mtaji mkubwa kiasi flani...
 
Biashara ni nzuri ,usikate tamaa ,ila nivizuri ukaanza na local gym kama wadau wanavyoeleza hiyo ndio itakupa mwanga wa biashara husika.
 
Bro nahitaji kujua zaidi kuhusu hii biashara vp nije PM?
Ara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…