Biashara ya Hiace Mwanza

Biashara ya Hiace Mwanza

fatu2010

Senior Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
173
Reaction score
142
Habari zenu, wakubwa shkamoo wadogo mambo? Binafsi nimepata pesa kidogo baada ya kuhangaika sana mtaani nafikiria nianze biashara ya hiace.

Kwa vile mi mwalimu naimani ntaweza kuifatilia vizuri na bila kuingilia mda wa kazi. Nataka ninunue hiace used toka Japan je ni kweli hizo biashara ni nzuri maana naona watu wanaleta gari mpya tu ingawa kuna matajiri kama Ng'olo sijui alipotea wapi alikua na hiace kama 30 hivi hapa Mwanza.

Naomba ushauri wenu kabla sijajiingiza rasmi mwezi wa Januari mwakani. Mtaji ni m25 cash sijawahi fanya hiyo biashara na sijui jinsi ya kuyokosea na mwisho nikala hasara

Cc: lucky sabasaba
charminglady

Asante
 
Last edited by a moderator:
Ngosha hiyo biashara ya usafiri iangalie sana pia huko Japan unapotaka nunu hiyo used Hiace siku hizi kuna matapeli wengi sana angalia agents wasije wakakubangikia Hiace iliyochoka sana na hatimaye pesa yote itamalizikia ktk maintenance ya gari,angalia siku hiyo gari yako ikiingia cha kwanza toa thermostart ile ya kuleta joto ndani ya engine na usije ukaunguza sylinder head gazket na hatimaye kukata pistons,hiyo itaweza kukugharimu hela nyingi sana kuifanyia overhall,jaribu kucheza sana na huyo agent wako atakaye kuuzia hilo gari lazima iwe ktk hali nzuri sana mechanical,mimi nina uzoefu wa hiyo biashara ninaijua vyema.Goodluck ktk hiyo biashara ndugu mwalim.
 
angalia siku hiyo gari yako ikiingia cha kwanza toa thermostart ile ya kuleta joto ndani ya engine na usije ukaunguza sylinder head gazket na hatimaye kukata pistons

Duh! Ndio technologia ilikofikia kwetu? Kwanini msiwashauri Wajapan watoe thermostat? Maneno ya kuambiwa bwana... Unabeba kama ulivyodanganywa...
 
Bahati mbaya siku hizi wajapani (agents) wamekuwa na tamaa sana na kwa uroho wa hela ukiishalipia gari lako wanaweza wakakusukumia hivyo hivyo jinsi lilivyo bila hata ya kuikarabati au kuiweka tayari kwa hali ya Africa.Watu tumezifanya sana hizo biashara za mabasi tena mengine bado yanajulikana majina yao pale Kariakoo,hatubahatishi.sasa kama wewe unafahamu kitu kuhusu swali aliouliza huyo mwalimu kwanini usiandike ili kuchangia mawazo yako,kazi mdomo tuu wa kibongo na ilhali hujui kitu.M/Mpamba.
 
biashara ya hiace/daladala ina stress nyingi sana kama unapresha sikushauli ufanye hii bizness hakika... Kabla ya kufanya na kujiingiza rasmi tafuta wamiliki wa hiace wawili au hata watatu jenga nao ulafiki, pia hakikisha kabla hujajingiza kwenye biashara hii unajua vifaa vya hiace viwili vitatu itakusaidia, kwa ushauri zaidi waweza kuni pm kwani ninauzoefu mkubwa wa biashara ya hiace hapa mwanza
 
wewe huwa unanunua kampuni gani?!!!..au huwa unanunua kwa "agent" gani?
 
biashara ya hiace/daladala ina stress nyingi sana kama unapresha sikushauli ufanye hii bizness hakika... Kabla ya kufanya na kujiingiza rasmi tafuta wamiliki wa hiace wawili au hata watatu jenga nao ulafiki, pia hakikisha kabla hujajingiza kwenye biashara hii unajua vifaa vya hiace viwili vitatu itakusaidia, kwa ushauri zaidi waweza kuni pm kwani ninauzoefu mkubwa wa biashara ya hiace hapa mwanza

Mkuu kwa sasa sina presha nimepima juzi tu, ila labda ka ndo itaanza. Nimeshaku-pm kama ulivyoshauri.

Asante
 
Ngosha hiyo biashara ya usafiri iangalie sana pia huko Japan unapotaka nunu hiyo used Hiace siku hizi kuna matapeli wengi sana angalia agents wasije wakakubangikia Hiace iliyochoka sana na hatimaye pesa yote itamalizikia ktk maintenance ya gari,angalia siku hiyo gari yako ikiingia cha kwanza toa thermostart ile ya kuleta joto ndani ya engine na usije ukaunguza sylinder head gazket na hatimaye kukata pistons,hiyo itaweza kukugharimu hela nyingi sana kuifanyia overhall,jaribu kucheza sana na huyo agent wako atakaye kuuzia hilo gari lazima iwe ktk hali nzuri sana mechanical,mimi nina uzoefu wa hiyo biashara ninaijua vyema.Goodluck ktk hiyo biashara ndugu mwalim.

wewe uko mwanza, hebu toa uzoeu wako kuhusu biashara ya hiace mwanza, achana na technical issues kwanza, ongelea biashara.
 
Kwenye magari najua tu kufanya service kwenye hizi sedan...vingine dah mi mweupe 100! Naskia ukiwa na dreva mzuri ni bizness nzuri Bzmana
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu, wakubwa shkamoo wadogo mambo? Binafsi nimepata pesa kidogo baada ya kuhangaika sana mtaani nafikiria nianze biashara ya hiace.

Kwa vile mi mwalimu naimani ntaweza kuifatilia vizuri na bila kuingilia mda wa kazi. Nataka ninunue hiace used toka Japan je ni kweli hizo biashara ni nzuri maana naona watu wanaleta gari mpya tu ingawa kuna matajiri kama Ng'olo sijui alipotea wapi alikua na hiace kama 30 hivi hapa Mwanza.

Naomba ushauri wenu kabla sijajiingiza rasmi mwezi wa Januari mwakani. Mtaji ni m25 cash sijawahi fanya hiyo biashara na sijui jinsi ya kuyokosea na mwisho nikala hasara

Cc: lucky sabasaba
charminglady

Asante

mkuu, una uhakika wanaleta hiace MPYA?!!! hiace mpya itachukua muda sana kukulipa, na kwa barabara zetu inaweza kuchakaa kabla haijarejesha pesa!
 
Kuna jamaa huwa anachukua hiace mpya anapiga nazo safari kama miezi sita hivi kisha anauza anachukua tena mpya ukimpata huyo ni bora zaidi,
 
Ngosha hiyo biashara ya usafiri iangalie sana pia huko Japan unapotaka nunu hiyo used Hiace siku hizi kuna matapeli wengi sana angalia agents wasije wakakubangikia Hiace iliyochoka sana na hatimaye pesa yote itamalizikia ktk maintenance ya gari,angalia siku hiyo gari yako ikiingia cha kwanza toa thermostart ile ya kuleta joto ndani ya engine na usije ukaunguza sylinder head gazket na hatimaye kukata pistons,hiyo itaweza kukugharimu hela nyingi sana kuifanyia overhall,jaribu kucheza sana na huyo agent wako atakaye kuuzia hilo gari lazima iwe ktk hali nzuri sana mechanical,mimi nina uzoefu wa hiyo biashara ninaijua vyema.Goodluck ktk hiyo biashara ndugu mwalim.

Mkuu hiyo ndio naskia leo, ntauliza asbh hii mi mkazi waabatini hapa kuna gereji nyingi. Nilishawai kiwa na magari ma2 yote nloagiza Jpn ila hicho kifaa skuwah kitoa
 
Napenda kukutia moyo kwa biashara ya hiace unayotaka kuianza, kwa kifupi biashara ya hiace kwa hapa mwanza inalipa but itakulipa tu endapo utapata dereva mzuri na uwe na usimamizi mzuri wa hiyo gari bila kusahau kuifanyia gari service kwa wakati, Ingekuwa hailipi tisingeziona hiace zinaongezeka barabarani kila siku, kwa taarifa nilizonazo hiace za njia ndefu zinalaza elfu 60 kwa siku, njia fupi sh elfu 50, all za best mkuu

Kwenye magari najua tu kufanya service kwenye hizi sedan...vingine dah mi mweupe 100! Naskia ukiwa na dreva mzuri ni bizness nzuri Bzmana
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu, wakubwa shkamoo wadogo mambo? Binafsi nimepata pesa kidogo baada ya kuhangaika sana mtaani nafikiria nianze biashara ya hiace.

Kwa vile mi mwalimu naimani ntaweza kuifatilia vizuri na bila kuingilia mda wa kazi. Nataka ninunue hiace used toka Japan je ni kweli hizo biashara ni nzuri maana naona watu wanaleta gari mpya tu ingawa kuna matajiri kama Ng'olo sijui alipotea wapi alikua na hiace kama 30 hivi hapa Mwanza.

Naomba ushauri wenu kabla sijajiingiza rasmi mwezi wa Januari mwakani. Mtaji ni m25 cash sijawahi fanya hiyo biashara na sijui jinsi ya kuyokosea na mwisho nikala hasara

Cc: lucky sabasaba
charminglady

Asante

Mkuu kwa kuanza hebu fanya urafiki na Mdogo wake Mh. Hyness Kiwia yule anayeitwa Alexander au almaarufu kama "Alexander Bell" magari yake yameandikwa hivyo kisha anaweza kukupa muongozo na ushauri pia.

Kila la heri............
 
Wabongo kwa porojo, jamaa kauliza biz itakuwa vp, nyie mwamchanganyia habari,.. Gai!!!?
 
biashara ya hiace/daladala ina stress nyingi sana kama unapresha sikushauli ufanye hii bizness hakika... Kabla ya kufanya na kujiingiza rasmi tafuta wamiliki wa hiace wawili au hata watatu jenga nao ulafiki, pia hakikisha kabla hujajingiza kwenye biashara hii unajua vifaa vya hiace viwili vitatu itakusaidia, kwa ushauri zaidi waweza kuni pm kwani ninauzoefu mkubwa wa biashara ya hiace hapa mwanza
Tangu mwanzo ungesema aku Pm tu,maana umezunguuka,sas aku pm kivipi.
Watu mkisikia hela basi mnambinu nyingi sana.
Kwa ufupi watu wanatabia ya kutishana kwenye hii biashara,wakati ukienda Yard na Japan watu kila siku wanaingiza gari njiani.Mke tu ana Stress itakuwa chuma kisichosema.
Acha uoga wa Maisha.Jizake mwanaume.
 
Napenda kukutia moyo kwa biashara ya hiace unayotaka kuianza, kwa kifupi biashara ya hiace kwa hapa mwanza inalipa but itakulipa tu endapo utapata dereva mzuri na uwe na usimamizi mzuri wa hiyo gari bila kusahau kuifanyia gari service kwa wakati, Ingekuwa hailipi tisingeziona hiace zinaongezeka barabarani kila siku, kwa taarifa nilizonazo hiace za njia ndefu zinalaza elfu 60 kwa siku, njia fupi sh elfu 50, all za best mkuu
Ram,leu umeongea la maana sana,kitufe cha LIKE kimejifuta, hembu chukua :busu
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom