fatu2010
Senior Member
- Mar 4, 2014
- 173
- 142
Habari zenu, wakubwa shkamoo wadogo mambo? Binafsi nimepata pesa kidogo baada ya kuhangaika sana mtaani nafikiria nianze biashara ya hiace.
Kwa vile mi mwalimu naimani ntaweza kuifatilia vizuri na bila kuingilia mda wa kazi. Nataka ninunue hiace used toka Japan je ni kweli hizo biashara ni nzuri maana naona watu wanaleta gari mpya tu ingawa kuna matajiri kama Ng'olo sijui alipotea wapi alikua na hiace kama 30 hivi hapa Mwanza.
Naomba ushauri wenu kabla sijajiingiza rasmi mwezi wa Januari mwakani. Mtaji ni m25 cash sijawahi fanya hiyo biashara na sijui jinsi ya kuyokosea na mwisho nikala hasara
Cc: lucky sabasaba
charminglady
Asante

Last edited by a moderator: