moreen mollo
Member
- Feb 21, 2013
- 15
- 8
Sorry Mkuu ni typing error namaanisha "INSURANCE AGENCY" [emoji120]
Nashukuru sana kwa maelezo yako...Je naweza kuwa na Kampuni tofauti tofauti za Bima ndani ya Ofisi moja?Umesoma insurance ?kama haujasoma tafuta mtu aliyesoma ,utatumia cheti chake wakati wa usajili,utaamua uwe naye au utumie umlipe utumie cheti chake ,Kisha utaenda kwenye kampuni husika unavyotaka uwe agent wao,milembe ,,bumaco n.k.watakupa form zao utajaza na hatua zingine watakuelekeza
InawezekanaNashukuru sana kwa maelezo yako...Je naweza kuwa na Kampuni tofauti tofauti za Bima ndani ya Ofisi moja?
Ahsante sana nimekuelewa [emoji120]Ili ufungue uwakala wa bima inabidi ufanye yafuatayo:-
. sajili jina BRELA
. uwe na cheti cha bima
. fixed deposit ya Tshs 1,000,000/=
. C.V ya principal officer wako
. uhakiki wa uraia wa mkurugenzi wa wakala na principal officer wako aidha kwa kuwa na cheti cha kuzaliwa au hati ya kusafiria
. ukate bima ya proffessional indemnity
. uwe na mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi na kampuni husika ya bima
. uthibitisho wa kutokuwa na hatia wa mkurugenzi na principal officer
Hivyo vitu ukimalizana navyo unaenda TIRA unalipia:-
application form Tshs 25,000/=
registration fee Tshs 500,000/=
annual fee Tshs 50,000
Kama una swali lolote usisite kuulizaAhsante sana nimekuelewa [emoji120]