Biashara ya Internet mtaani

Mdani mkuu naomba namba yako kwani mm project nishaianza ila nafanya manual, kuna sehem nimekwama. Namna ya kuuza vocha ili kuepusha wadau kuscaniana passwords, natamani sana kuoata mfumo wa kudhibiti hii
Ndugu vipi ulifanikiwa mimi nna changamoto kama yako
 

Nikweli hii biashara inalipa mm nauza vifaa hapo unavyosema ww unatumia microtik baised hii ni njia moja wapo pia unaweza tumia router pc yenye uwez kidg uka download omada software badala ya hardware unatumia na na ukatafta access point ya kampuni moja ambayo ni tplink Unategemea voucher unauza
 
Japo sijaelewa sana, lakini it seems like a good business idea!
Mm nafanya hii bizness in small scale Niko chuo na generate voucher natumia Mbps 50 nauza business iko profitable NI kaujuz kidg Tu unatoboa sema ukipatia location Sana target vyuon na mtaani kwenye masoko makubwa an sehem kuna mkusanyiko WA watu mtaj ukiwa na laki nane ah 9 unaweza Kuanzia but in small scale unakua unagenerate voucher unampangia mtu kwamba atumie GB moja au mb hata 2 au hata GB 20 ni wewe Tu changamoto kwenye hii biashara ni kuna MDA mtandao unasumbua Sana pia kuna MDA HACKERS wapo kama ukipata mtu alie soma python anawez kucrack na akakuharck vzr Tu sema had mtu afanye hivyo itachukua MDA afu pia unaweza kumuona na. Kublock kbs nichek namawaz Tu vijana tunatoboa maisha
 
Nilijaribu kuifuatilia youtube nikaona kama ina hitaji utaalam wa hali ya juu nikaipotezea
Mambo simple first kuna modem au router kuna switch kama hunamtaj mkubwa so lazima afu kuna omada hardware au kama huna mtaj mzr kuna unaweza download omada software kutoka kwenye tplink community ya mwaka huu njia nyingine ni microtik baised hapo Una kufaa chako cha microtik hap lite (rab941-2nd-tc) na wire cat 6kama Mita 50 au 20 na tplink E110 kama unamtaka mzr unaweza kununua tplink E225 au zaid kulingana na mtaj wako kama unataka biashara iwe kubwa unaweza tumia ranges kama Yale yanayowekwa kwenye minala utume wifi yako distance kubwa then unapiga mpunga Tu ukiwa na million moja na eneo zur aya unapiga pesa vby mno aisee ni ujanja Tu mm mwenyew sjasoma wala nmejifunza tu
 
Mkuu emu tupe mwongozo wa kufanya hii biashara mkuu(mchanganuo wa mtaji how much to invest) .....its a worth deal.
Hahahaha ww Hiyo njia naijua si nzr kbs unafanya router inakua nzito heri unafanya hiv router kampuni (Aina tplink)+wire+omada hardware au kama pes hazitoshi tafuta pc install omada software ili uwe Una monitor users kirahis pia + access point Aina tplink Eap110 au taplink Eap225 au zaid kulingana na mtaj wako ukisema utumie njia unazo zisema ww router itakua nzito make hapo unchanged kutoka blacklist kwenda whitelist ambapo badala yakublock Mac adress unaziadd kumbuka kwenye simu kuna phone mac adress na random MC adress sasa. Hapo watu wanakuharck kirahis sna lkn unitumie hiz njia nlizosema hapo juu itakuwaj na uwezo wakumonitor mteja Kwa mfano unaweza amua mteja atumie gb2 au GB 100 au unlimited au mb hata 2 pia unampangia mteja atumie mtandao wako Kwa MDA gani Kwafano hapo unamtengenezea voucher kutumia Hiyo omada software au hardware ambayo unaitengeneza ww itumike kwanza now for example from 2:34 mbk 16:00 alafu inaexpire so inajifuta kwako then Kwa namna Hiyo unaweza kufanya biashara kirahis na vzr hizo router zingine kama Vodacom tigo au Airtel zmetengenezwa Kwaatumizi ya nyumbani Sana so hazina security Sana then utajikuta badala ya kufanya biashara unawafurahisha watu lkn njia nyingine nikama alivyosema huyo jamaa hapo juu unaweza nunua microtik router na modem ya voda au Airtel hata tigo na access point then unacomfigure then unagenerate voucher kutumia pc unauza kwawadau Hiyo nayo iko poa kbs
 
Mdani mkuu naomba namba yako kwani mm project nishaianza ila nafanya manual, kuna sehem nimekwama. Namna ya kuuza vocha ili kuepusha wadau kuscaniana passwords, natamani sana kuoata mfumo wa kudhibiti hii
Hapo broo nitafte nkupe usaidiz kama hujapata namba ya wasap 0750649411
 
Mkuu
Dah mkuu una madini sana ila namna ulivyowasilisha nimerudia kusoma sijakuelewa kabisa, unaweza ukatulia utushushie nondo vizuri mkuu kutupa maarifa zaidi au kama kuna anaeelewa zaidi kwa msaada wa wengi
 
Kiongoz naomba namba yako
 

Asante kwa taarifa nzuri. Naomba pia u share bei ya vifaa vinavyohitajika, kama tplink E110 au E225 ni kiasi gan dukani, wapi vinapatikana kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…