Biashara ya Internet mtaani

Biashara ya Internet mtaani

Mdani

Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
28
Reaction score
47
Habarini wana JF,

Kama ada ya Watanzania wengi, nina wazo la kuuza internet kwa watu.

Muda mrefu nimekuwa nikifanya utafiti kupitia mitandao ya kijamii nimegundua biashara hii inaweza ikafanywa na vijana walio wengi wa Tz badala ya kukomaa na library, vibanda umiza, pharmacy na biashara zingine ndogo ndogo ambazo zimekuwa kimbilio la vijana wengi.

Hii biashara ni maarufu sana kwa vijana wa nchi kama Ufilipino, Indonesia, India, Pakistan na nchi kadha wa kadha. Hata kwenye utafiti wangu kupitia YouTube vijana wengi kutoka nchi hizo ndio ma-dealer sana wa biashara hizi.

Pia nikaja kugundua hata hapa Tz wapo watu wanafanya biashara hii ila ujuzi ndio changamoto hasa utumiaji wa teknolojia sahihi kwenye hii biashara.

Nikakutana na internet ya kijamii kutoka UDOM kupitia masafa ya UHF(WHITE SPACE TV). Hivyo nikaonelea inaweza kuwa msaada mzuri kwenye kufanya biashara ya internet. Ila changamoto kupitia program hii utaalam ni changamoto hivyo watahitajika wataalam na mtaji mkubwa kiasi kufanikisha biashara hii. Ila bado pana ombwe kwani bado sijajua gharama halisi kuweza kunufaika na internet hii.

Nikarahisisha wazo kwamba si lazima sana kutumia masafa ya white space tv, bali vijana wanaweza kukodi internet kutoka makampuni pendwa kama Supakasi ya Vodacom, au fiber za TTCL, ZUKU, GO FIBER, SIMBANET na kampuni za VSAT kupitia vifurushi vyao vya unlimited/uncapped data.

Kama kampuni husika itaruhusu kugawa internet, basi kijana unaweza kutumia fursa hiyo kwa kukodi unlimited internet na kununua baadhi ya vifaa ila kuweza kusambaza kwa waya ama wireless access point.

Vifaa muhimu ni kama komputa, router, cloud key software na vifaa vya kurushia wifi kama camfast au tplink

Mpango wa wateja ni kuuza vocha ambazo utaziprint kupitia software za mtandaoni ama kuuza kwa wifi ya password.

Lengo ni kuuza kwa wateja wengi iwezekanavyo na kufwata mlolongo mzuri wa kibiashara ikiwemo kufanya saving, cash flow au liquidity analysis na mambo kadha wa kadha ya kibiashara ikiwepo utafiti wa soko, mchanganuo wa biashara nk

Vipi mdau wa Jamii forum? Una uzoefu wa hii biashara? Nini mtazamo wako? Una teknolojia gani kuboresha? Una project kama hii ambayo ina exisist? Tuambiwe kwenye komenti hapa kiungani.

Screenshot_20221111-041606.jpg
 
Samahan boss. Nilikua nahitaji kufahamu zaidi kuhusu biashara ya kuuza compyuta pamoja na simu katika duka moja. ila nahitaji kupewa ata mwanga kuhusu iyo biashara katika vipengele vifuatavyo:

1. Kiasi cha mtaji kinachofaa kuanzia biashara hiyo
2. Mkoa au eneo linalofaa kwa hiyo biasahara
3. Eneo la kupata mzigo
na vitu vingine naomba unielekeze tu nduguydngu kama utakua naufaham kuhusu ilo ndugu
 
Hili ni wazo zuri sana na ni jipya, sio lazima tufanye biashara zinazofanana. Uhitaji (demand) wa internet kwa hii generation ni kubwa tatizo ni upatikanaji wake (affordability or supply), ni gharama mno. Mtoa mada ukiweza ku install na ku supply hii huduma soon utatoboa sababu kanuni za commerce (demand vs supply ) zinakubali kwenye hii issue.

Nakuunga mkono na natafuta huduma gan kati ya Vodacom Supakasi au Ttcl Copper fiber nianze kutoa ya internet. Lakn pia natak niende mbali zaid kutuoa huduma ya library kupitia blog ya music na video ambapo wateja wata access media kwenye hiyo blog. Mfano mzuri, kuna sk nilitumia 22GB kwa Ha tunnel plus VPN nikapost FB, raia walikuja wengi sana messenger kuomba configuration file mpk nikahc usumbufu.
Screenshot_20230730-163820.png
 
Habarini wana JF
Kama ada ya watanzania wengi, nina wazo la kuuza internet kwa watu.

Muda mrefu nimekuwa nikifanya utafiti kupitia mitandao ya kijamii nimegundua biashara hii inaweza ikafanywa na vijana walio wengi wa Tz badala ya kukomaa na library, vibanda umiza, pharmacy na biashara zingine ndogo ndogo ambazo zimekuwa kimbilio la vijana wengi.

Hii biashara ni maarufu sana kwa vijana wa nchi kama Ufilipino, Indonesia, India, Pakistan na nchi kadha wa kadha. Hata kwenye utafiti wangu kupitia YouTube vijana wengi kutoka nchi hizo ndio ma-dealer sana wa biashara hizi.

Pia nikaja kugundua hata hapa Tz wapo watu wanafanya biashara hii ila ujuzi ndio changamoto hasa utumiaji wa teknolojia sahihi kwenye hii biashara.

Nikakutana na internet ya kijamii kutoka UDOM kupitia masafa ya UHF(WHITE SPACE TV). Hivyo nikaonelea inaweza kuwa msaada mzuri kwenye kufanya biashara ya internet. Ila changamoto kupitia program hii utaalam ni changamoto hivyo watahitajika wataalam na mtaji mkubwa kiasi kufanikisha biashara hii. Ila bado pana ombwe kwani bado sijajua gharama halisi kuweza kunufaika na internet hii.

Nikarahisisha wazo kwamba si lazima sana kutumia masafa ya white space tv, bali vijana wanaweza kukodi internet kutoka makampuni pendwa kama Supakasi ya Vodacom, au fiber za TTCL, ZUKU, GO FIBER, SIMBANET na kampuni za VSAT kupitia vifurushi vyao vya unlimited/uncapped data.

Kama kampuni husika itaruhusu kugawa internet, basi kijana unaweza kutumia fursa hiyo kwa kukodi unlimited internet na kununua baadhi ya vifaa ila kuweza kusambaza kwa waya ama wireless access point.

Vifaa muhimu ni kama komputa, router, cloud key software na vifaa vya kurushia wifi kama camfast au tplink

Mpango wa wateja ni kuuza vocha ambazo utaziprint kupitia software za mtandaoni ama kuuza kwa wifi ya password.

Lengo ni kuuza kwa wateja wengi iwezekanavyo na kufwata mlolongo mzuri wa kibiashara ikiwemo kufanya saving, cash flow au liquidity analysis na mambo kadha wa kadha ya kibiashara ikiwepo utafiti wa soko, mchanganuo wa biashara nk

Vipi mdau wa Jamii forum? Una uzoefu wa hii biashara? Nini mtazamo wako? Una teknolojia gani kuboresha? Una project kama hii ambayo ina exisist? Tuambiwe kwenye komenti hapa kiungani
View attachment 2437983

Nilijaribu kuifuatilia youtube nikaona kama ina hitaji utaalam wa hali ya juu nikaipotezea
 
Mdani mkuu naomba namba yako kwani mm project nishaianza ila nafanya manual, kuna sehem nimekwama. Namna ya kuuza vocha ili kuepusha wadau kuscaniana passwords, natamani sana kuoata mfumo wa kudhibiti hii
 
Ili wazo nilitoa mwezi wa 9/10 kwenye group langu la whatsapp namna ya kupiga pesa kwa kutumia modem ya voda ya 5G. Modem ya voda inafika 200m kutokana na maelezo yao, unaweza ukatafuta sehem yenye mkusanyko wa watu ukafungua hii biashara ambayo mtu anaweza ku access internet ndani ya 200m.

Dada mmoja kwenye group aliipenda sana hii idea na kuchukua hatua na sasa anafanya kwenye mkoa alipo. Modem ya voda inatoa vifurushi tofauti kwa yule dada kaanza na speed ya 30mbs ambacho kwa mwezi ni 150k.

Voda wanatoa modem bure ila unaingia mkataba wa miezi miwil , modem inauwezo wa host device 64.
Kuzuia watu wasishare password, unaweza kufanya configuration kwenye router kwa kuwapa access wale tu ambao umewaunga na kuwapa access na ku assign mac address ya simu au device ili kuzuia new device isiweze ku access internet bila kulipia au kupewa access.
 
Mkuu emu tupe mwongozo wa kufanya hii biashara mkuu(mchanganuo wa mtaji how much to invest) .....its a worth deal.
 
Modem ni bure, kifurushi unachagua wewe kulingana na matmizi yako, ila kama umejipanga vizuri unaweza anza na speed 30mbs ambapo utalipia miezi 2 . Kama uko vizuri sana unaweza kuanza na 300mbs kama umefanya utafiti vizuri ukaona kuna uhitaji mkubwa zaidi. Hii side hustle inafaa zaidi sehem yenye mkusanyiko mkubwa sana wa raia especially stand au sokoni.

Min capital 1M ukitaka ufanye kwa kujiachia bila stress.
 
Mkuu nimekuja PM ila inakataa..Naomba ufafanuzi ziadi nijue kama inahitaji elimu kuiendesha au
 
Back
Top Bottom