Biashara ya Jezi za Mtumba, Nianzie wapi?

Biashara ya Jezi za Mtumba, Nianzie wapi?

Boutafrica

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
974
Reaction score
2,106
Wakuu ndg yenu nahtaji kufanya biashara ya kuuza jezi za football za mtumba kutoka ima iwe ulaya au asia,je nianzie wapi? Yan sijui ni wapi nitanunua kwa jumla na kwa shngapi na je hii biashara INALIPA? Nina mtaji wa mil 1 nipo iringa.
 
Kuwa na mtaji na wazo la kuuza jezi tyri umekwisha ku win mie nikushauri watembelee wauzaji wengine wa jezi wa karibu yako upate zaidi kisha endelea kutafiti zaidi maana zama hizi ni za ulimwengu wa habari
 
Back
Top Bottom