Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Wakuu ndg yenu nahtaji kufanya biashara ya kuuza jezi za football za mtumba kutoka ima iwe ulaya au asia,je nianzie wapi? Yan sijui ni wapi nitanunua kwa jumla na kwa shngapi na je hii biashara INALIPA? Nina mtaji wa mil 1 nipo iringa.