Biashara ya kaa

Biashara ya kaa

left eye

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
227
Reaction score
311
Habari wakuu, nataka nianze rasmi biashara ya kufata kaa na kuja kuwauza hapa jijini Dar

Nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu upatikanaji wake wanapatikana hasa Mtwara, Lindi na sehemu za karibu na hapo

Bei ya kununulia kule ni 9000 na soko la hapa Dar now limeshuka ni 15000

Naomba ushauri ,mawazo ,na maoni ...nin nizingatie wakati wa biashara hii
 
Una mpango wa kuuz kwa style gani? Maana naonaga Kaa na Kambakoche ni milo ya kishua sana.
Ushauri: Ongeza na pweza maana sea foods hizo huwa zinaendana
 
Siuz kwa kupika no nawachykua mtwara nawaleta dar kuna soko kubwa tu
 
Habari wakuu, nataka nianze rasmi biashara ya kufata kaa na kuja kuwauza hapa jijini Dar

Nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu upatikanaji wake wanapatikana hasa Mtwara, Lindi na sehemu za karibu na hapo

Bei ya kununulia kule ni 9000 na soko la hapa Dar now limeshuka ni 15000

Naomba ushauri ,mawazo ,na maoni ...nin nizingatie wakati wa biashara hii
umelenga soko gani hapa dar?
 
Changamkia fursa, acha kulala
Habari wakuu, nataka nianze rasmi biashara ya kufata kaa na kuja kuwauza hapa jijini Dar

Nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu upatikanaji wake wanapatikana hasa Mtwara, Lindi na sehemu za karibu na hapo

Bei ya kununulia kule ni 9000 na soko la hapa Dar now limeshuka ni 15000

Naomba ushauri ,mawazo ,na maoni ...nin nizingatie wakati wa biashara hii
 
Hawa kaa kuwala kwake huwa inanitatiza kweli hivi huwaga na kamnofu?
 
Back
Top Bottom