Habari wakuu, nataka nianze rasmi biashara ya kufata kaa na kuja kuwauza hapa jijini Dar
Nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu upatikanaji wake wanapatikana hasa Mtwara, Lindi na sehemu za karibu na hapo
Bei ya kununulia kule ni 9000 na soko la hapa Dar now limeshuka ni 15000
Naomba ushauri ,mawazo ,na maoni ...nin nizingatie wakati wa biashara hii