Biashara ya karanga

Umesahahu 1000 ya dalali kila gunia.
 
Hizi hesabu za makaratasi vingi sana hajaweka
Gharama za ubebaji ushushaji..gharama ukusanyaji mzigo ushonaji gunia..gharama za maroba....gharama za stoo
 
Nyakati za mavuno gunia la karanga (debe 6) haliwezi kufika 50K-55K mkoani Tabora hasa wilaya za Nzega/Uyui ndani ndani labda uwe mwaka wa ukame mbaya.
 
Sawa Mkuu
 
Hizi hesabu za makaratasi vingi sana hajaweka
Gharama za ubebaji ushushaji..gharama ukusanyaji mzigo ushonaji gunia..gharama za maroba....gharama za stoo
Hapo kaenye stoo panakula sana.

Na mzigo unaufikisha unashangaa mwezi mzima haujaisha.
 
Hapo kaenye stoo panakula sana.

Na mzigo unaufikisha unashangaa mwezi mzima haujaisha.
Nishafanya biashara za mazao..kuna vigharama upuuzi mwingi..wengi wanajua unakuta gunia 200 sehemu unanunua kumbe mara hapa kuna debe 2 mara pale gunia mara pale kisado

Kiufupi hakuna kitu chepesi dunian.....
 
Hizi huwa ni ndoto za Abunnwasi na ndo zinawaponza vijana wa A-level na vyuo vikuu. Wakija mtaani hawakutani na haya mambo bali ajira za 250k mpaka 600k. Watu wanaolipwa 5M ni wachache sana tena sana ukilinganisha na wanaolipwa chini ya laki 9
 
Kaka umenena kinachotakiwa ni kuwa mjasiliamali .yaan kama ww umeajiriwa kama banker .invest kwenye kuwa Bora mfano
1.soma degree na masters yake
2.soma vyeti vya weredi proffessional certified banker
3.soma course za it zihusianazo na banking ikiwemo Ai
4.jiunge board na forum za bankers dunian
5 .andika kila mwezi colomn 2 kwenye Mambo contemporary ya kibenki kwenye journal za kidunia
6.jijenge ukaribu na watendaj wataaalamu serikali

Halafu tuone kama kuna mwenye Duka kariakoo atakukuta
 
Acha uongo wewe
 
Hizi huwa ni ndoto za Abunnwasi na ndo zinawaponza vijana wa A-level na vyuo vikuu. Wakija mtaani hawakutani na haya mambo bali ajira za 250k mpaka 600k. Watu wanaolipwa 5M ni wachache sana tena sana ukilinganisha na wanaolipwa chini ya laki 9
Tupe suluisho mkuu , umetupiga dongo na kutuacha.
 
Naweza kujua soko la karanga upande wa Dar tafadhali wadau...
 
Mdogo wako anafanya kazi na kampuni gani naomba kufahamu? [emoji848]
 
Mdogo wako anafanya kazi na kampuni gani naomba kufahamu? [emoji848]
W.O, Lake au Afroil, kati ya hizo haitokua Busara kutaja kampun. But nihizo tatu mojawapo vipi upo hayo maeneo?.
 
Naweza kujua soko la karanga upande wa Dar tafadhali wadau...
Dar nzima ni soko la karanga mzee, au una maanisha unataka madalali wa soko la karanga? [emoji848]
 
W.O, Lake au Afroil, kati ya hizo haitokua Busara kutaja kampun. But nihizo tatu mojawapo vipi upo hayo maeneo?.
Hapana nilikuwa nataka kujua ili nielewe imekuwaje katusua hapa hapa bongo na hali ilivyo ngumu hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…