Biashara ya karanga

Biashara ya karanga

Twende Kwa numbers zaidi
Gunia umenunua 55,000/-
Umepata 30kg
Kukoboa na usuhuru = TZS 100/kg
Hivyo ni TZS 3,000/- Kwa gunia
Ukiuza kg 30 x 2,400 = TZS 72,000/- Kwa gunia.

Faida Kwa gunia
= 72,000 - 55,000 - 3,000
= 14,000/-

Kwa siku unaweza kuuza gunia ngapi? Vipi gharama zingine kama chakula na malazi?
Umesahahu 1000 ya dalali kila gunia.
 
So una 4000 ya ushuru na usafiri, then 1000 ya udalali kila gunia.

Kilo 30 kwa 2400 ni 72000.

Ukitoa 72000-5000- 55000 unabaki na elfu 13 kila gunia.

Mimi mfanya biashara nikitoka Dar kuja Tabora nauli 45000 na kulala guest atleast 20k. Kwenda na kurudi 45k x 2 na 20k x 3 so 90000 plus 60000.

Hiz gharama zinatakiqa zitoke kwenye ile faida ya elfu 12 kwa gunia.

Mdano nimechukua gunia 50. So nitakuwa na 50×12000= 600,000

Huu ni mzunguko wa Wiki nzima.

Asante kwa Taarifa
Hizi hesabu za makaratasi vingi sana hajaweka
Gharama za ubebaji ushushaji..gharama ukusanyaji mzigo ushonaji gunia..gharama za maroba....gharama za stoo
 
Nyakati za mavuno gunia la karanga (debe 6) haliwezi kufika 50K-55K mkoani Tabora hasa wilaya za Nzega/Uyui ndani ndani labda uwe mwaka wa ukame mbaya.
 
Namaanisha Kuna watu wanatafta ajira sana mtaani wanakosa na wakati Kanda hii kupanga chumba Kwa mwezi single ni 10k double ni 20k per month na Kuna godoro hadi zimetengenezwa na mpunga zinauzwa 10k zina life span ya miezi9

I didn't mean offending office works but am just trying to make some people reading the qoute understand something

Hata biashara hii ukianza na laki2, utaenjoy kuona jinsi inavofika 500k in a flash
Sawa Mkuu
 
Hapo kaenye stoo panakula sana.

Na mzigo unaufikisha unashangaa mwezi mzima haujaisha.
Nishafanya biashara za mazao..kuna vigharama upuuzi mwingi..wengi wanajua unakuta gunia 200 sehemu unanunua kumbe mara hapa kuna debe 2 mara pale gunia mara pale kisado

Kiufupi hakuna kitu chepesi dunian.....
 
"Hautakua sawa na mtu wa ofisini au kuajiriwa". Una maana gani mkuu, nahio sentensi. Kuna Jamaa ambae kaajiriwa anavuta mshahara mil 5 mwingine mil 27 per month.

Na kunadogo langu kaajiriwa lakini analipwa Mili 2.3 lkn Kila mwaka ukiisha wanapewa kiunua mgongo ambacho kinaanzia mil 20 Kwa mtu mmoja, hii haihusiani na mafao ya NSSF, hii nisawa na asante Kwa kutumikia kampuni mwaka mzima.

Je watu kama hawa kwahio biashara utakua sawa nao?.

Sio Kila waajiriwa wananjaa. BTW nimejiajiri.
Hizi huwa ni ndoto za Abunnwasi na ndo zinawaponza vijana wa A-level na vyuo vikuu. Wakija mtaani hawakutani na haya mambo bali ajira za 250k mpaka 600k. Watu wanaolipwa 5M ni wachache sana tena sana ukilinganisha na wanaolipwa chini ya laki 9
 
Kaka umenena kinachotakiwa ni kuwa mjasiliamali .yaan kama ww umeajiriwa kama banker .invest kwenye kuwa Bora mfano
1.soma degree na masters yake
2.soma vyeti vya weredi proffessional certified banker
3.soma course za it zihusianazo na banking ikiwemo Ai
4.jiunge board na forum za bankers dunian
5 .andika kila mwezi colomn 2 kwenye Mambo contemporary ya kibenki kwenye journal za kidunia
6.jijenge ukaribu na watendaj wataaalamu serikali

Halafu tuone kama kuna mwenye Duka kariakoo atakukuta
 
"Hautakua sawa na mtu wa ofisini au kuajiriwa". Una maana gani mkuu, nahio sentensi. Kuna Jamaa ambae kaajiriwa anavuta mshahara mil 5 mwingine mil 27 per month.

Na kunadogo langu kaajiriwa lakini analipwa Mili 2.3 lkn Kila mwaka ukiisha wanapewa kiunua mgongo ambacho kinaanzia mil 20 Kwa mtu mmoja, hii haihusiani na mafao ya NSSF, hii nisawa na asante Kwa kutumikia kampuni mwaka mzima.

Je watu kama hawa kwahio biashara utakua sawa nao?.

Sio Kila waajiriwa wananjaa. BTW nimejiajiri.
Acha uongo wewe
 
Hizi huwa ni ndoto za Abunnwasi na ndo zinawaponza vijana wa A-level na vyuo vikuu. Wakija mtaani hawakutani na haya mambo bali ajira za 250k mpaka 600k. Watu wanaolipwa 5M ni wachache sana tena sana ukilinganisha na wanaolipwa chini ya laki 9
Tupe suluisho mkuu , umetupiga dongo na kutuacha.
 
"Hautakua sawa na mtu wa ofisini au kuajiriwa". Una maana gani mkuu, nahio sentensi. Kuna Jamaa ambae kaajiriwa anavuta mshahara mil 5 mwingine mil 27 per month.

Na kunadogo langu kaajiriwa lakini analipwa Mili 2.3 lkn Kila mwaka ukiisha wanapewa kiunua mgongo ambacho kinaanzia mil 20 Kwa mtu mmoja, hii haihusiani na mafao ya NSSF, hii nisawa na asante Kwa kutumikia kampuni mwaka mzima.

Je watu kama hawa kwahio biashara utakua sawa nao?.

Sio Kila waajiriwa wananjaa. BTW nimejiajiri.
Mdogo wako anafanya kazi na kampuni gani naomba kufahamu? [emoji848]
 
W.O, Lake au Afroil, kati ya hizo haitokua Busara kutaja kampun. But nihizo tatu mojawapo vipi upo hayo maeneo?.
Hapana nilikuwa nataka kujua ili nielewe imekuwaje katusua hapa hapa bongo na hali ilivyo ngumu hivi.
 
Back
Top Bottom