Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Umesahahu 1000 ya dalali kila gunia.Twende Kwa numbers zaidi
Gunia umenunua 55,000/-
Umepata 30kg
Kukoboa na usuhuru = TZS 100/kg
Hivyo ni TZS 3,000/- Kwa gunia
Ukiuza kg 30 x 2,400 = TZS 72,000/- Kwa gunia.
Faida Kwa gunia
= 72,000 - 55,000 - 3,000
= 14,000/-
Kwa siku unaweza kuuza gunia ngapi? Vipi gharama zingine kama chakula na malazi?