Biashara ya korosho

Siwezi sahau mwaka jana nilidhulumiwa pesa yangu huku naona but this nazama tena chimbo

great thinker
 
Siwezi sahau mwaka jana nilidhulumiwa pesa yangu huku naona but this nazama tena chimbo

great thinker
Dhulma imejaa saana kwenye korosho mtu anajiamini akikudhulmu umpeleki popote
 
Kilichosahauliwa ni angamizo lililowakuta ndugu zetu wa Masasi, Nachingwea na maeneo ya Rwangwa Na Liwale kunako bei ya mbaazi, choroko Na ufuta ingekuwa ni funzo kwa utawala huu ktk hii biashara ya mwaka huu maana utaratibu wa serikali hii asiyeujua labda awe kichaa ndo atashangaa so tuwe makini waweza nunua 1500 per kg ukaskia mnada umeuzwa 1300 c yakushangaa kwa wale wakongwe wareview miaka kadhaa iliyopta umakini unahtajika nduguzanguni.
 
ulimsikia kassim majaliwa akiwa tanga kwenye mkutano wa wadau wa korosho?

msimu kangomba (choma choma) wataumia sana.
 
Nitumie namba yako inbox nikuunge kwenye Whatsap group uendelee mwenyewe
 
Salaam wana jukwaa
Bwana Yesu asifiwe
Kama mada inavyojieleza
Naomba wale wakazi wa Mtwara na Lindi mnipe dondoo kidogo kuhusu biashara ya korosho ghafi,namna ya kuzipata na uuzaje wake upoje.
Mnipe elimu kidogo kuhusu inshu ya stakabadhi gharani
Nataka nije huko so nipeni mwongozo
Buena Domingo
 
Ununuzi wa korosho (kongomba) kienyeji hairuhusiwi kisheria na serikali inakataza ila wadau wanapga mzgo km kawa na inahtaji mtaji wa kutosha kidogo na malipo hulipwa kwa account za benk unayoiacha pale unapouza mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…