Biashara ya korosho

Zao jingine ni kahawa mkuu.mwaka huu nimeuza gunia zipatazo 15,kilo moja ilikuwa 4000.karibuni saaana mbinga tuwekeze kwenye kilimo cha kahawa.kazi ya kuajiriwa nafanyia dodoma.huku mbinga nafanya kilimo tu cha kahawa.kwa sasa nina hekari zipatazo 4.malengo yangu nimiiliki angalau hekari 10
 
Nimewahi kuishi mbeya maeneo ambayo wanalima kahawa lakini sina abc la zao hili.Korosho na kahawa ndo mazao yanayomlipa mkulima ana deserve
 
Mkuu hongera aise, we umepanda jamii gani ya kahawa?? Kwa wastani unaweza pata kilo ngapi kwenye heka moja?? Mapori huko mbinga bei zinaendaje kwa heka??
 
Mkuu nakuunga mkono tatizo ni kwamba shuguli zetu nyingi hazitabiriki.
Huwez jua hii hali ipo kwa muda gani.
 
Aisee nyie limeni tu mm nitakuja kununua.
Nitawafata huko huko vijijini mashambani.
 
Mkuu shamba lako liko mkoa wapi?
 
Mkuu hongera aise, we umepanda jamii gani ya kahawa?? Kwa wastani unaweza pata kilo ngapi kwenye heka moja?? Mapori huko mbinga bei zinaendaje kwa heka??
Mimi nimepanda Robusta mkuu,hekari moja ukiihudumia vzuri unaweza kuvuna gunia zisizo pungua 20,maana kadri umri wa mmea unavyozid kukua na kiwango cha mavuno huongezeka.hii ya kwangu ni changa,ndo kwanza ina mvua tatu.Huku mapori hupatikana kwa gharama nafuu saana,hekari moja unapata hata kwa laki mbili mpaka tatu.
 
Habar wadau poleni kwa majukumu ya kila siku .
Kama mada hapo juu inavyosema nahitaji mtu serious ambaye tutafanya biashara ya korosho kama ifuatavyo:
Mimi Nipo Masasi Mtwara ni mkulima wa korosho
Kwa hyo korosho zishaanza kwa tajir anayehitaj mzgo ambapo kwa sasa bei ni sh 2000 /kg 1 Baadae atauza sh 3800/kg 1 au zaid ya hapo
Kwa hyo mzgo unanunulia then unahifadhiwa au anauchukua mwenyew
Kwa maelezo zaid pm au no: 0683708181 au 0679921501
 
Nitumie e-mail yako niko nje
Kama umesajili kampuni ni bora zaidi
 
Habari wanajamvi poleni kwa mihangaiko ya kila siku ya kutafuta ridhiki
Kama kichwa cha habari,nahitaji mtu ambaye yupo tayari kufanya biashara ya korosho kama mnavyofahamu kuwa kwa sasa korosho zina bei nzuri na soko la uhakika
Mimi nipo Masasi Mtwara kwa yeyote anayehitaji pm au piga 0683708181
0679921501
 
Vipi kuhusiana na vyama vya ushirika nitawezaje kuutoa mzigo kwenda bandarini wakati utaratibu lazima mzigo uuzwe na vyama vya ushirika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…