Biashara ya korosho

Biashara ya korosho

Sasa hivi muuzaji halali wa korosho ni Amcos katika eneo husika. Ukienda kichwa kuchwa ukanunua kutoka kwa watu kwa utaratibu uliokatazwa(maarufu kama kangomba) ukikamatwa mzigo wote unataifishwa. Kama mtu anataka kufanya hii biashara ni vizuri akapitia kwenye vyama vya ushirika
 
Sasa unaweka na namba ya simu si watakuja kukuchukua hapo nyumbani kwenu na uwaeleze uyo tajiri anayenunua kwa 2000.Punguza njaa kijana,umeshindwa kupata vijana wa kazi pande izo kweli.harufu ya utapeli kuweni makini
Biashara Ya haramu anaweka Na namba Ya Simu, hii ni hatari kwake
 
Habar wadau poleni kwa majukumu ya kila siku .
Kama mada hapo juu inavyosema nahitaji mtu serious ambaye tutafanya biashara ya korosho kama ifuatavyo:
Mimi Nipo Masasi Mtwara ni mkulima wa korosho
Kwa hyo korosho zishaanza kwa tajir anayehitaj mzgo ambapo kwa sasa bei ni sh 2000 /kg 1 Baadae atauza sh 3800/kg 1 au zaid ya hapo
Kwa hyo mzgo unanunulia then unahifadhiwa au anauchukua mwenyew
Kwa maelezo zaid pm au no: 0683708181 au 0679921501
Ukipata tajiri nishtue brother......Mimi Niko Liwale hapa zipo nyingi sana korosho.
 
Habari wakuu

Naomba kujuzwa ABC za hii biashara ya korosho huko mtwara, hasa kwa mwaka huu inavyokwenda, biashara zimekuwa ngumu inabidi tujaribu kila biashara sasa.

Naomba mwenye kufahamu inafanyika vipi, yaani ununuzi wake na uuzaji wake, maana nasikia kuna minada ndio huwa inafanyika mara tena naambiwa kuna “kagomba “ sijui kama nimepatia, sasa sijapata somo vizuri wakuu.
 
Ningekushauri msimu huu uende field ukawe mtazamaji kwanza ili usije kupata stroke
 
Ningekushauri msimu huu uende field ukawe mtazamaji kwanza ili usije kupata stroke
Baje baone benyewe kwanza.
Msimu ulishaanza jipange mwakani fuatilia kwa ukaribu. Pia katika biashara yeyote unayoifikiria au unayotaka kufanya tupilia mbali hisia,mizuka na mihemko.(Taarifa ndio jambo muhimu zaidi)
 
Sijapata kuona biashara ina madalali kama korosho!
Ukifika utapokewa na dalali,huyo dalali nae ana wakala,wakala nae anatumiwa na chama cha msingi
Mteja wako wa kihindi kumbe nae dalali tuu,dah
 
Sijapata kuona biashara ina madalali kama korosho!
Ukifika utapokewa na dalali,huyo dalali nae ana wakala,wakala nae anatumiwa na chama cha msingi
Mteja wako wa kihindi kumbe nae dalali tuu,dah
Ni kweli kabisa ukiwa mgeni kule kusini lazima madalali watakuandama tu,ndio maana inabidi uende mwenyewe uusome mchezo vizuri ili ujiridhishe.
 
Nakushauri kwakua ndo unaanza mwaka huu, naomba uje tu uangalie jinsi watu wanavyofanya,, au kama una pesa ya kutosha, njoo ununue robo ya pesa uliyo nayo au kias kidogo cha pesa , pia kama mtu wa kubet au mfanyabiashara usiyeogopa hasara njoo ubet , maana mwaka huu hali si mzuri!!!

Vuta subira usikurupuke, siye tupo huku tunasubiri serikali itaje bei dira!!!!
 
habarini wadau wa zao la biashara la korosho huko kusini na pwani tujuzane
Inapatikanaje?
Bei gani? Wapi inapatikana kwa wingi?
 
habarini wadau wa zao la biashara la korosho huko kusini na pwani tujuzane
Inapatikanaje?
Bei gani? Wapi inapatikana kwa wingi?
Kusini!!! Umetumia general term had umenichanganya. Unamaanisha wapi?
 
Weee ndugu Sisi huku tumevurugwa usije maana hata bei dira haijatangazwa..... Mara oooh 800/=
Unataka kusema ndiyo bei yake imeshuka kiasi hicho? CCM si walisema wao ndiyo walipandisha bei kwa ivo wameamua kuishusha?
 
Unataka kununua mnadani ? Au choma choma a.k.a kangomba?
Korosho zipo wilaya zote za Lindi na mtwara
Karibu sana
 
Back
Top Bottom