Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Unataka kununua mnadani ? Au choma choma a.k.a kangomba?
Korosho zipo wilaya zote za Lindi na mtwara
Karibu sana
Korosho zipo wilaya zote za Lindi na mtwara
Karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni PM mkuu tufanye mambo..Habari wakuu
Naomba kujuzwa ABC za hii biashara ya korosho huko mtwara, hasa kwa mwaka huu inavyokwenda, biashara zimekuwa ngumu inabidi tujaribu kila biashara sasa.
Naomba mwenye kufahamu inafanyika vipi, yaani ununuzi wake na uuzaji wake, maana nasikia kuna minada ndio huwa inafanyika mara tena naambiwa kuna “kagomba “ sijui kama nimepatia, sasa sijapata somo vizuri wakuu.
Punguza unafiki... korosho kangomba watu wananuna hadi 2500Weee ndugu Sisi huku tumevurugwa usije maana hata bei dira haijatangazwa..... Mara oooh 800/=
Tangazo hlo umelipata Wap?Bei Elekezi ni shs 1550 kwa msimu wa 2018/2019
Wale wazee wa kangomba ni neema tuuu!!!
View attachment 881560
Halafu mabibo unakausha unampeleka mpakan na msumbiji kwenda kuuza ili wakatengenezee gongo msumbiji gunia 40000 mpaka 80000nimekaa miaka mitano huko nilkuwa nakwamishwa na mtaji tu aise ila ni biashara ya muda mfupi na inalipa na msimu umeanza kama unataka kuwekeza wahi sasa
Kwanni Mkuu ..Kama mtaji wako wa mawazo mwaka huu usije kusini utalia, tuachie wazoefuu!!!
Korosho hazieleweki,,, kwahiyo kuna mara mbili,, kupata faida au kukosa faida...kwahiyo km unapesa yako ya mkopo ni bora ukaa nayo kwanza usubiri bei ya mnadani mwishoni wa mwenzi huu,,Kwanni Mkuu ..
Hali mbaya sana nni ..?
Kwelii kwa upepo huu inabidi kutuliza mshono .Korosho hazieleweki,,, kwahiyo kuna mara mbili,, kupata faida au kukosa faida...kwahiyo km unapesa yako ya mkopo ni bora ukaa nayo kwanza usubiri bei ya mnadani mwishoni wa mwenzi huu,,
Sasahiv tuna bet tuu
Mkuu neema kivipi .,Bei Elekezi ni shs 1550 kwa msimu wa 2018/2019
Wale wazee wa kangomba ni neema tuuu!!!
View attachment 881560
Kivipi ndugu nifafanulieKama mtaji wako wa mawazo mwaka huu usije kusini utalia, tuachie wazoefuu!!!
Ndio Bei ya mnadani ndio nayohitaji kujua hua inagota sh ngapiKorosho hazieleweki,,, kwahiyo kuna mara mbili,, kupata faida au kukosa faida...kwahiyo km unapesa yako ya mkopo ni bora ukaa nayo kwanza usubiri bei ya mnadani mwishoni wa mwenzi huu,,
Sasahiv tuna bet tuu