Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)


Nzuri ukiwa unasaga kwenye mashine zako ili kudhibiti viwango.
 
Mkuu habari za majukumu, nimevutiwa sana na maamuzi yako ya uthubutu! Na hakika utafanikiwa!
 
Watu wameulizwa bei za mashine wanakazana kutaja ubora wa mashine kama amjui bei si mkae kimya tu.
 
Hawa hapa Wanajiita CP 0684 611 167..Kwa hapa Dar...OFFICE zao ..ziko Mlimani City ila juzi nilitoka Moro nimewakuta 88

Mkuu Hii CP kirefu chake Ni nini? Maana najaribu kugoogle sijawapata
 
MKUU MIMI NINAZO MACHINE MPYA ZA KUSAGA NA KUKOBOA.ZIPO SET 2 ZA KUKOBOA NA SET 2 ZA KUSAGA.ZIPO COMPLETE KUANZIA MOTORS ZAKE NA ACCESORIES NYINGINE ZOTE.NAZIUZA KWA BEI RAHISI.BEI YA SET MOJA YA MACHINE HIZO DUKANI KWA SASA NI 3.7 MIL(VAT INCL).MIMI NAUZA SET MOJA KWA 2.5MIL TU.MACHINE HIZI NI BRAND NEW.HAZIJATUMIKA.NA MIMI NILIZINUNUA KWA AJILI YA KUANZISHA PROJECT YA KUSAGA NAFAKA,BAHATI MBAYA ALIYENIAHIDI MTAJI HAKUTIMIZA TENA AHADI YAKE.MACHINE HIZI ZIPO DSM MBEZI BEACH.MKUU,KAMA UTAKUWA INTERESTED TUTAFUTANE KWENYE 0767 610068
 
Nisaidie kazi seriously hata ya kupepeta mahindi mkuu
 
Siwezi kupata kazi hata ya kupepeta mahindi mkuu.
 
T
Safi sana Lutifya.

Hawa wanapatikana wapi mi niko temeke? Na je nikinunua lazima niwapelekee au watakuja kiwandani? Na je hii biashara inanilazima kusajiri TFDA na TBS?
FDA na TBS ni lazima
 
Piga hizo namba. CP nadhani ni kifupi cha Kampuni yao.
Wadau CP wamefunga ofisi Dar tangu Oct 2016 waliingia mgogoro na serikali awau hii kuhusu kulipa vat kwenye miradi yao walikuwa kiwanda cha chakula cha kuku kule chang'ombe na shamba kuku Kibaha! Walishaanza kazi ilikuwa nzuri sana wanakupa mkataba unawatunzia kuku wanakupa kila kitu bure mnakatana mwisho na wao wanakuja wanunuzi wa kuku wote! Sasa issue za kupewa unafuu wa kodi kwenye mazao kilimo na mifugo wakashindwana wakaona hailipi! Wamesepa!!!
 
Asante ndugu kwa taatifa, huu ni Msiba jamaa walikuwa wanamaanisha kwakweli, na wengi walinufaika sana Ila ndio watakatifu hawataki kuona watu wanainuka. [emoji16] [emoji16]
 
Interesting. Uzi safi sana huu
 
Mkuu gimmy's uko poa? Business inaendaje? Ebwana na mie napiga hatua za kuingia kwenye business hii sasa hivi, ndo nimechukua mashine zote mbili na Mungu akibariki basi mwisho wa mwaka huu niingie kwenye production!
Please tunaomba ma legend wa hii biashara muwe mnashea uzoefu wenu ili wachanga tusifanye mistakes zisizo za lazima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…