Kabla hawajaja wa kushauri juu ya aina ya mashine, ni vema ukayajua haya machache
Soko lako li wapi, ukianza na upatikanaji wa walighafi (mahindi) yenyewe utakapoyapata kwa bei nafuu ili kupunguza gharama za uzalishaji, pili sehemu uliotageti kuuzia product (unga) wako.
Ni vema sehemu uliopangilia kuwa utakuwa unauzia unga iwe ni sehem yenye uhitaji. (Kuna sehemu mfano wanakolimia mahindi kwenyewe ni ngumu kupata soko la kuuzia unga wako maana kila mmoja karibia huwa ana mahindi yake anasaga kwa matumizi ya familia)