Ngoja nitafute wadau wa hii tasnia ,alafu nitawatafuta ,nataka kuingia katika hii productionNdugu ni mashine za hapa hapa angalia na mota inayowekwa mkuu
kuipata complete unit 2.4m Kusaga na 2.5m kukoboa vyote vimekamilika ni kuchangamka kweli mkuu?
Bila hivyo unatengenezewa kitu kibovu hata mwaka hakifikishi unatafuta mafundi PATA HIZI MASHINE HADI WATOTO WAZIKUTE
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hawajaja wa kushauri juu ya aina ya mashine, ni vema ukayajua haya machache
Soko lako li wapi, ukianza na upatikanaji wa walighafi (mahindi) yenyewe utakapoyapata kwa bei nafuu ili kupunguza gharama za uzalishaji, pili sehemu uliotageti kuuzia product (unga) wako.
Ni vema sehemu uliopangilia kuwa utakuwa unauzia unga iwe ni sehem yenye uhitaji. (Kuna sehemu mfano wanakolimia mahindi kwenyewe ni ngumu kupata soko la kuuzia unga wako maana kila mmoja karibia huwa ana mahindi yake anasaga kwa matumizi ya familia)
KaribuNaomba msaada wa mtu ambaye anajuwa biashala ya unga wa sembe.
Mimi nauza unga kwa bei ya jumla karibuNaomba msaada wa mtu ambaye anajuwa biashala ya unga wa sembe.
Asante mimi nataka kujuwa mahindi mazuri ya kusaga unga sembemm nauza unga kwa bei ya jumla karibu
Mahindi mazuri yanaotoa unga mzuri ni Songea na TangaAsante mimi nataka kujuwa mahindi mazuri ya kusaga unga sembe
Naomba unisaidi namba yakomahindi mazuri yanaotoa unga mzuri ni songea na tanga
Na mimi hapa nimepata wazo ndiyo uzuri wa JF.Wazo lako ni zuri, kwani kuwekeza ktk chakula na ukahakikisha unakidhi viwango na mahitaji ya walaji wako utanufaika na kunufaisha wengi, binafsi nakushauri endelea na mpango wako.