Mkuu hii kitu utaangukia pua kwa mtazamo wangu sababu hakuna kampuni itakayo tangaza kwenye magazine kwenye ulimwengu huu wa social media.
Siku hizi Facebook, whatsap, blogs na Instagram ndio sehemu ya matangazo na kupashana habari kwahiyo watu hawanunui wala kuchukua magazines hata Kama utatoa bure sababu habari wanapata kwenye simu zao.
Labda uanzishe e-magazine