Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zuri, jaribu kufatilia waanzilish wa DAR magazine, BANG magazine na DAR ADVERT magazine....jaribu kuwasiliana nao ukiweza ila uwe na uwezo wa kuConvice ili mtu akuelewe aweze kufunguka,habari wakuu ningependa kujuzwa juu ya biashara ya kuandaa na kuprint magazine ya bure kila mwezi ya matangazo tu.changamoto zake na namna gani ya kuifanya upate kampuni za kutangaza,mtaji wake na rasilimali hitajika.
nawasilisha
asante