Biashara ya kuchapisha magazine ikoje?

Biashara ya kuchapisha magazine ikoje?

isyesye

Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
51
Reaction score
22
habari wakuu ningependa kujuzwa juu ya biashara ya kuandaa na kuprint magazine ya bure kila mwezi ya matangazo tu.changamoto zake na namna gani ya kuifanya upate kampuni za kutangaza,mtaji wake na rasilimali hitajika.
nawasilisha
asante
 
Wazo zuri, jaribu kufatilia waanzilish wa DAR magazine, BANG magazine na DAR ADVERT magazine....jaribu kuwasiliana nao ukiweza ila uwe na uwezo wa kuConvice ili mtu akuelewe aweze kufunguka,

Vingine tumia mitandao kufanya research.
 
Mkuu hii kitu utaangukia pua kwa mtazamo wangu sababu hakuna kampuni itakayo tangaza kwenye magazine kwenye ulimwengu huu wa social media.

Siku hizi Facebook, whatsap, blogs na Instagram ndio sehemu ya matangazo na kupashana habari kwahiyo watu hawanunui wala kuchukua magazines hata Kama utatoa bure sababu habari wanapata kwenye simu zao.

Labda uanzishe e-magazine
 
Back
Top Bottom