Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
- Thread starter
-
- #21
Ndyo wanafugika ila wanahitaji umakini sana maana wao ukikosea tu kidogo wanadumaa na wakidumaa hawawezi kurecover. Baadaye ntakuja na somo juu ya ufugaji wa sato.Ni nzuri.Hongera sana
Je sato pia wanafugika?
Ni aina ipi ya samaki wanaofugwa kirahisi?Ndyo wanafugika ila wanahitaji umakini sana maana wao ukikosea tu kidogo wanadumaa na wakidumaa hawawezi kurecover. Baadaye ntakuja na somo juu ya ufugaji wa sato.
KambaleNi aina ipi ya samaki wanaofugwa kirahisi?
Apo huwa tunaangalia chanzo cha maji, aina la bwawa na aina ya samak unaofuga. Na aina ya chakula wanachokula.Ndugu kitaalamu unashauriwa SQM 1 la Bwawa kuwe na samaki wangapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wastan ni 1m. Apo nimeinclude cost za bwawa, maji, vifaranga na chakula.Mkuu umefikia wapi mwaka huu 2018 katika ufugaji ???? Nipo Dar unaweza kuni kadiria niwe na kiasi gani kuanza na samaki 500>>>