Biashara ya Kufuga samaki inalipa sana. Ila ni kwanini wengi hupata hasara?

😂😂 mimi.naishi na wataalam wa samak..ila sijui kwann wanafuga haya makambale aisee.. mm ht iweje siwez kula ujue.. bora ufuge sato.. ingawa sato hawakui..
😀😛😀 hupendi hayo makambale au hupendi samaki kwa ujumla?Unaishi na wataalamu ila hufugi?😁
 
sipendi kambale.. sijawah fuga kwakweli.. i.mean nimezungukwa na wataalam wabobezi..nao wanalalamika sato hawakui..alafu hawana ladha..aku mm.ntakula sato wa mwanza tu hawa wanaonuka tope sipendi
.ww unafuga.?
 
Unanichekesha.Kambale ukitaka kumfaidi inafaa awe mkubwa sio wale wadogo.Sato watamu,nakubali.Mimi sifugi ila nashawishika siku za usoni nijaribu kuwekeza huko
 
ah wapi ww..kambale?hapana...wananuka matope.tope.alaf wana sura ya kuogofya....ukianza kufuga sato niite tuwabariki
 
sipendi kambale.. sijawah fuga kwakweli.. i.mean nimezungukwa na wataalam wabobezi..nao wanalalamika sato hawakui..alafu hawana ladha..aku mm.ntakula sato wa mwanza tu hawa wanaonuka tope sipendi
.ww unafuga.?
Mkuu inategemea na sorce ya kambale wako wanatokea wapi. Katika ufugaji, kambale huwa hawanuki tope kabisa sababu wanskuwa wamefugwa katika maeneo masafi. Nakukarbisha uje ujionjee minofu ya kambale uone walivyo watamu.
 
Back
Top Bottom