Biashara ya Kufuga samaki inalipa sana. Ila ni kwanini wengi hupata hasara?

huu uzi nondo sana sijawahi kufikiria kufuga samaki ila ninetamani [emoji23]
 
Kambale hana tofauti na nyoka, ukiweza kumla kambale hutoshindwa kumla nyoka
 
Samaki sato na sangara walioko kwenye ziwa Nyanza wanakula nini mpaka wanakuwa madude makubwa kabisa?

Nahitaji maarifa ya kutengeneza mazingira kama ya ziwa Nyanza katika ukubwa mdogo kabisa unaowezekana.

Halafu nasikia samaki wanakua vizuri tu wakila vinyesi kama vya kuku na binadamu. Je una maarifa yoyote ya kisayansi katika hili (yaani kama umeshawahi kujaribu kuwalisha vinyesi na ukapima matokeo)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…