Biashara ya kuingiza Nyimbo na movie niwe na kiasi gani cha mtaji

Hauna hata ndugu ana desktop akuazime kwanza ufanye test au huko ulipo hakuna mtu anafanya ? kumbuka kama nilivyosema hii ni piracy na kila mwenye simu anaweza ku download mwenyewe kwenye simu yake hence sijui target yako ni kina nani na upo wapi..., ni bora kuuza yale maseries ya Kikorea n.k, ingawa nao ni wizi ila kina Jumong hawana muda wa kupoteza pesa kukutafuta bongo
 
Mkuu nipo huku uswahili biashara hii ya movies inalipa Sana boss wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
movies wanachukua nini flash, dvd au wanakuja na flash zao uwarekodie ? na purchasing power yao ipo vipi wana pesa nyingi as you can buy your own flash na kuwawekea ,movie za kutosha au wanakuja na buku mbili mbili hence inabidi uwape dvd, na kama ni dvd ushaona competition yako ya kina wale alibaba movie zao wanauza bei gani na wewe unaweza ukatoa quality kama hio ?

kama mtu anakuja na flash yake umuwekee movie sio biashara mbaya sababu unachohitaji ni desktop ya bei rahisi tu huenda isifike laki tatu, tafuta na modem ingia kwenye ma-torrent shusha ma series anza kuwanasa
 
Mkuu hiyo kitu nina fanya

Budget kwa huku nilipo nimetumia kama laki 8 na ushee hivi

Desktop complete laki 3
Hard disk 1 Hii nilipewa na bro 1 tera
External hdd mbili 1 tera na 2 tera Zote laki 3 nilinunua kwa mshkaji
Subwoofer elfu 95
Meza ni ya chuma cost laki moja na elfu tano

Pia ninauza flash , mem cards, covers za simu,protectors life linasonga kimtindo simu na mazaga kibao coz ukiwa na Computer unafanya hizo makazi Na hizo bidhaa nilizoorodhesha hapo zinatoka kinyamaaaa
 
Ishu uwe na mazaga ya kushato
Qaswida
Movies aina zote
Gospels
Bongo fleva kama zote,
Bila kusahau pilau la wakubwa

Me kwangu bongo movies no sina wateja wa hizo mavitu

Location ya maana

Mkwanja upo a day 25 mpaka 30 kwa kazi za movies , music,.

Hali ikiwa mbaya buku 10 mpaka buku 15 fresh mkono unazama kwa fwasi ya mdomo

Pambana
 
Hauna hata ndugu ana desktop akuazime kwanza ufanye test au huko ulipo hakuna mtu anafanya ? kumbuka kama nilivyosema hii ni piracy na kila mwenye simu anaweza ku download mwenyewe kwenye simu yake hence sijui target yako ni kina nani na upo wapi..., ni bora kuuza yale maseries ya Kikorea n.k, ingawa nao ni wizi ila kina Jumong hawana muda wa kupoteza pesa kukutafuta bongo
wachache sna wanaodownload mkuu, ni watu wote wanaoweza kudownload movies??
Songs

Nooo big nooo kwa huku nilipo kati ya watu kumi mmoja ndo anaweza kuna watu wanaku na smartphones zao na nyimbo ninaweka nambandika na protector na cover , na simu ina internal ila namwambia anunue xterna sd na ananunua hapa hapa kwangu biashara uja nja ujanja boss ,
 
Jamaa kasema nyimbo sio movies tunapoenda mkuu kila mwenye smart phone 99 % wanaweza kudownload nyimbo na wengi watataka Bongo Fleva ambazo kila ikitoka hata kama usipodownload wewe rafiki yake atamrushia... kwahio hata kama market ipo sio kivile ndio maana nikamwambia na movies
 
Mkuu hiyo kitu nina fanya

Budget kwa huku nilipo nimetumia kama laki 8 na ushee hivi

Desktop complete laki 3
Hard disk 1 Hii nilipewa na bro 1 tera
External hdd mbili 1 tera na 2 tera Zote laki 3 nilinunua kwa mshkaji
Subwoofer elfu 95
Meza ni ya chuma cost laki moja na elfu tano

Pia ninauza flash , mem cards, covers za simu,protectors life linasonga kimtindo simu na mazaga kibao coz ukiwa na Computer unafanya hizo makazi Na hizo bidhaa nilizoorodhesha hapo zinatoka kinyamaaaa
Mkuu Bei za desktop na hard disk ni bei gani Maana sabufa ninalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Bei za desktop na hard disk ni bei gani Maana sabufa ninalo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vifaa Bei gani?
Screenshot_20190406-201838.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu uwe na mazaga ya kushato
Qaswida
Movies aina zote
Gospels
Bongo fleva kama zote,
Bila kusahau pilau la wakubwa

Me kwangu bongo movies no sina wateja wa hizo mavitu

Location ya maana

Mkwanja upo a day 25 mpaka 30 kwa kazi za movies , music,.

Hali ikiwa mbaya buku 10 mpaka buku 15 fresh mkono unazama kwa fwasi ya mdomo

Pambana
Mkuu hivi Bei gani?
Screenshot_20190406-201838.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom