kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Wakuu katika zunguka zangu kukosa kazi na Nina aidia kubwa ya computa kutoka chuo naona fursa kuingiza Nyimbo kwenye memor kadi na flash nipeni bajeti nianze kazi. Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app