kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Komputer Bei gani mkuuApart from unachokifanya ni piracy na wizi wa hatimiliki huenda usiitaji mtaji wowote zaidi ya computer na mwanvuli na kujiegesha nje ya duka la mtu
Mkuu nipo huku uswahili biashara hii ya movies inalipa Sana boss wanguHauna hata ndugu ana desktop akuazime kwanza ufanye test au huko ulipo hakuna mtu anafanya ? kumbuka kama nilivyosema hii ni piracy na kila mwenye simu anaweza ku download mwenyewe kwenye simu yake hence sijui target yako ni kina nani na upo wapi..., ni bora kuuza yale maseries ya Kikorea n.k, ingawa nao ni wizi ila kina Jumong hawana muda wa kupoteza pesa kukutafuta bongo
movies wanachukua nini flash, dvd au wanakuja na flash zao uwarekodie ? na purchasing power yao ipo vipi wana pesa nyingi as you can buy your own flash na kuwawekea ,movie za kutosha au wanakuja na buku mbili mbili hence inabidi uwape dvd, na kama ni dvd ushaona competition yako ya kina wale alibaba movie zao wanauza bei gani na wewe unaweza ukatoa quality kama hio ?Mkuu nipo huku uswahili biashara hii ya movies inalipa Sana boss wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
wachache sna wanaodownload mkuu, ni watu wote wanaoweza kudownload movies??Hauna hata ndugu ana desktop akuazime kwanza ufanye test au huko ulipo hakuna mtu anafanya ? kumbuka kama nilivyosema hii ni piracy na kila mwenye simu anaweza ku download mwenyewe kwenye simu yake hence sijui target yako ni kina nani na upo wapi..., ni bora kuuza yale maseries ya Kikorea n.k, ingawa nao ni wizi ila kina Jumong hawana muda wa kupoteza pesa kukutafuta bongo
mkuu mishe unapigia kipande cha wapi??Nimetumia mtaji wa 800,000/= ukiondoa pango.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kasema nyimbo sio movies tunapoenda mkuu kila mwenye smart phone 99 % wanaweza kudownload nyimbo na wengi watataka Bongo Fleva ambazo kila ikitoka hata kama usipodownload wewe rafiki yake atamrushia... kwahio hata kama market ipo sio kivile ndio maana nikamwambia na movieswachache sna wanaodownload mkuu, ni watu wote wanaoweza kudownload movies??
Songs
Nooo big nooo kwa huku nilipo kati ya watu kumi mmoja ndo anaweza kuna watu wanaku na smartphones zao na nyimbo ninaweka nambandika na protector na cover , na simu ina internal ila namwambia anunue xterna sd na ananunua hapa hapa kwangu biashara uja nja ujanja boss ,
Mkuu Bei za desktop na hard disk ni bei gani Maana sabufa ninaloMkuu hiyo kitu nina fanya
Budget kwa huku nilipo nimetumia kama laki 8 na ushee hivi
Desktop complete laki 3
Hard disk 1 Hii nilipewa na bro 1 tera
External hdd mbili 1 tera na 2 tera Zote laki 3 nilinunua kwa mshkaji
Subwoofer elfu 95
Meza ni ya chuma cost laki moja na elfu tano
Pia ninauza flash , mem cards, covers za simu,protectors life linasonga kimtindo simu na mazaga kibao coz ukiwa na Computer unafanya hizo makazi Na hizo bidhaa nilizoorodhesha hapo zinatoka kinyamaaaa
Mkuu hivi Bei gani?Ishu uwe na mazaga ya kushato
Qaswida
Movies aina zote
Gospels
Bongo fleva kama zote,
Bila kusahau pilau la wakubwa
Me kwangu bongo movies no sina wateja wa hizo mavitu
Location ya maana
Mkwanja upo a day 25 mpaka 30 kwa kazi za movies , music,.
Hali ikiwa mbaya buku 10 mpaka buku 15 fresh mkono unazama kwa fwasi ya mdomo
Pambana
mkuu bei inavary na eneo ulilopo, me nipo Singida huku Desktop complete laki 3, Hard disk wewe unahitaji ukubwa gani , kuna kuanzia 250 gb, na kuendelea bossMkuu Bei za desktop na hard disk ni bei gani Maana sabufa ninalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapatikana wapi boss??Mkuu Bei za desktop na hard disk ni bei gani Maana sabufa ninalo
Sent using Jamii Forums mobile app
kuanzia 250 desktop nzuri unapata mkuu , Kuhusu hdd sijawahi kuagiza k koo, ila kwa 150 unapata hdd one tera boss ,.Lengo niagzie kariakoo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekupm cheki Kwanza tuyajenge Maana Nina shida na hizo propertieskuanzia 250 desktop nzuri unapata mkuu , Kuhusu hdd sijawahi kuagiza k koo, ila kwa 150 unapata hdd one tera boss ,.