Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Unapambana kuzitokomeza Biashara za watu, unataka wafanye biashara gani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatariUmenichekesha uliposema na wapo wa serikalini wanajiuza ndio maana wanaacha iendelee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aaaaanh dunia nishushe…[emoji1787][emoji1787] my ribs
Kuna sehemu nimeandika kwamba napambana kutokomeza au haujasoma kitu nimeandikaUnapambana kuzitokomeza Biashara za watu, unataka wafanye biashara gani??
NdiyoIrasimishwe, ile tozo ya miamala ielekezwe kwao bila kusahau na 18%VAT, 3%REA na 1.5%Reli.
NamSimple, biashara yao IRASIMISHWE, walipe kodi, walindwe, wafaidike na miili yao..
sema ni kweli lakini nadhani kwenye swala la kondomu serikali inafaulu sanaSerikali ihakikishe condoms zinakuwepo za kutosha
wale wote wanaoona hii biashara ni kikwazo kwaoKwenye chapisho lako umeuliza nini kifanyike kupambana nayo.
Unataka nani apambane nayo ?
Kuna sehemu nimeandika kwamba napambana kutokomeza au haujasoma kitu nimeandika
umesoma heading tu umesoma chapisho zimaHeading yako unaweza Nipa Tafsiri yake Mkuu??
umesoma heading tu umesoma chapisho zima
labda mohamad na hadija umesahauHiyo biashara ni kongwe zaidi, hata huyo Maria Magdalena ambaye Bible inasema alikuwa wa kwanza kumuona Yesu baada ya kufufuka alikuwa Changudoa kabla ya kukutana na Yesu. Na conspiracy theorists wanasema Yesu alikuwa anamtafuna na walifunga ndoa na kuzaa mtoto mmoja
Mmm umeandika kwa code Sana lakni mimi nmeelewa slimMbona hiyo biashara zamani ilijulikana sana majina fulani siwezi kukataja maana kanadhalilisha kabila fulani hapa nchni na walitaijirika sana biashara hii ilikujabaribiwa na maradhi au ugonjwa uliojulikana kwa jina slim kwa sasa ivh na walisaidia kupunguza matukio ya ubakaji kwa kiwango fulani maana mtu akisikia kiu anapoza fasta.
Mtu aliyeamua kuutumia mwili wake mwenyewe kufanya mapenzi kwa malipo inakuaje kikwazo kwa mtu mwingine??wale wote wanaoona hii biashara ni kikwazo kwao
kama ww ni mtu wa dini lazima utaona ni tatzo na mm ndo watu niliowalengaMtu aliyeamua kuutumia mwili wake mwenyewe kufanya mapenzi kwa malipo inakuaje kikwazo kwa mtu mwingine??
kama ww ni mtu wa dini lazima utaona ni tatzo na mm ndo watu niliowalenga
Sijui kama natumia au situmiiUnakula nguruwe au unakunywa pombe?
Sijui kama natumia au situmii
kumbe wewe umesoma heading haujasoma kilichopo ndani soma tenaSiku ukijua utajua pia sababu sheria za nchi hazipaswi kutungwa kulingana na mtazamo wa dini fulani.