Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

Umenichekesha uliposema na wapo wa serikalini wanajiuza ndio maana wanaacha iendelee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aaaaanh dunia nishushe…[emoji1787][emoji1787] my ribs
Ni hatari
 
Hiyo biashara ni kongwe zaidi, hata huyo Maria Magdalena ambaye Bible inasema alikuwa wa kwanza kumuona Yesu baada ya kufufuka alikuwa Changudoa kabla ya kukutana na Yesu. Na conspiracy theorists wanasema Yesu alikuwa anamtafuna na walifunga ndoa na kuzaa mtoto mmoja
labda mohamad na hadija umesahau
 
Mbona hiyo biashara zamani ilijulikana sana majina fulani siwezi kukataja maana kanadhalilisha kabila fulani hapa nchni na walitaijirika sana biashara hii ilikujabaribiwa na maradhi au ugonjwa uliojulikana kwa jina slim kwa sasa ivh na walisaidia kupunguza matukio ya ubakaji kwa kiwango fulani maana mtu akisikia kiu anapoza fasta.
Mmm umeandika kwa code Sana lakni mimi nmeelewa slim
 
Mtu aliyeamua kuutumia mwili wake mwenyewe kufanya mapenzi kwa malipo inakuaje kikwazo kwa mtu mwingine??
kama ww ni mtu wa dini lazima utaona ni tatzo na mm ndo watu niliowalenga
 
Siku ukijua utajua pia sababu sheria za nchi hazipaswi kutungwa kulingana na mtazamo wa dini fulani.
kumbe wewe umesoma heading haujasoma kilichopo ndani soma tena
 
Back
Top Bottom