Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

Umenichekesha uliposema na wapo wa serikalini wanajiuza ndio maana wanaacha iendelee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aaaaanh dunia nishushe…[emoji1787][emoji1787] my ribs
Ni hatari
 
labda mohamad na hadija umesahau
 
Mmm umeandika kwa code Sana lakni mimi nmeelewa slim
 
Mtu aliyeamua kuutumia mwili wake mwenyewe kufanya mapenzi kwa malipo inakuaje kikwazo kwa mtu mwingine??
kama ww ni mtu wa dini lazima utaona ni tatzo na mm ndo watu niliowalenga
 
Siku ukijua utajua pia sababu sheria za nchi hazipaswi kutungwa kulingana na mtazamo wa dini fulani.
kumbe wewe umesoma heading haujasoma kilichopo ndani soma tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…