Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

Mimi nadhani sababu ni mtu anaamua tu kupata pesa kwa njia YA kujiuza NA wakati mwingine sio kwamba hawezi kujikimu hapana ni roho fulani inamwendesha NA kuona yuko sahihi.
Pia tusiseme MAMA zetu NA Dada zetu tu hata sisi wanunuaji tuna pepo hilohilo linatuendesha.
Satan is working to each but
What we can do to reduce it.
Kusema tangu kale haya yapo ila kupungua au kutopungua au kutoweka Hatuwezi kuacha kumtaja Mungu.
Mtu AMBAYE ameathiriwa kabisa kuacha hawezi ila tu kwa maombi maalumu NA ushauri nasaha.
 
Nam mtumishi
 
Nilichogundua Tanzania hela ipo, tatizo serikali yetu inaweka mkazo kwenye vyanzo vichache sana vya mapato, lakini siku mamlaka zikiamua na kuanza kuwasajili makahaba na wadangaji tutakusanya hela ndefu sana kwa mwezi hebu fikiria Ada ya usajili iwe kuanzia (10,000 - 100,000) wasajiliwe na wapatiwe mashine za kutolea risiti (EFD) na iwe wanatoa risiti na wateja nao wadai risiti, wateja nao wajue ili wajiepushe na ambao hawajasajiliwa, pia wajengewe utaratibu maalum wa kupimwa afya, uchambuzi mdogo ufuatao mtaona ni jinsi gani tunapoteza mapato:-
1. Uswahilini bao1 5,000/10,000 tuchukulie mmoja kwa siku anaweza kuingiza 50,000 sasa hapo akikatwa VAT 18% inakuwa kama 9000. Je wapo wangapi Tanzania nzima?

2. Kuna wa bao1 10,000, mmoja kwa siku anaweza kuingiza 100,000 sasa hapo akikatwa VAT 18% inakuwa kama 18,000. Je wapo wangapi Tanzania nzima?

3. Kuna wa bao3 25,000 na mmoja kwa siku anaweza kuingiza 75,000 sasa hapo akikatwa VAT 18% inakuwa kama 13,500, sasa je hao wa 75,000. Je wapo wangapi Tanzania nzima?

4. Kuna wale wa mtandao pendwa kike/kiume hawa mara nyingi bao1 50,000 na kwa siku wanaweza kuingiza hadi 150,000 sasa hapo akikatwa 18%VAT inakuwa kama 27,000 wapo wangapi Tanzania nzima?

5. Kuna wale wa kulala 100,000 hawa wakikatwa 18% VAT inakuwa kama 18,000 Je nao wapo wangapi Tanzania nzima?

6. Kuna wale Pro, hawa huanzia 300,000 kwa siku Wakikatwa 18% VAT ni sawa na 54,000. Je nao wapo wangapi Tanzania nzima?

7. Kuna wale ma Pro ambao hao bila 1Million huli mzigo kwa siku ambapo kundi hili wengine wanakwenda mpaka kimataifa, sasa hapo wakikatwa 18%VAT inakuwa kama 180,000. Je wapo wangapi Tanzania nzima?

Tukiangalia majumuisho kwa kila kundi tena kwa mmoja mmoja tunapata kama 319,500 kwa siku 1.

Tunapoteza mapato mengi sana......
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
umechanganua vzr
 
umechanganua vzr
Kwa Dar Es Salaam pekee kuna sehemu za mauzo zisizopungua 100, na kila sehemu ina wauzaji wasiopungua 50 na kila kila sehemu bei zinarange kuanzia 5000 na kuendelea ikiwa kila mmoja atalipa VAT 10,000 kwa siku basi kipato kitakachopatikana kwa Dar pekee kwa siku sio chini ya Milioni 50 (50,000,000) ukitoa siku (7) za mwezini kwa mwezi ni sawa na Bilioni 1 na Milioni 150 (1,150,000,000) na kwa mwaka ni sawa na Bilioni 13 na Milioni 800 (13,800,000,000).
.......Tunapoteza mapato.......
 
Nilichogundua Tanzania hela ipo, tatizo serikali yetu inaweka mkazo kwenye vyanzo vichache sana vya mapato, lakini siku mamlaka zikiamua na kuanza kuwasajili makahaba na wadangaji tutakusanya hela ndefu sana kwa mwezi hebu fikiria Ada ya usajili iwe kuanzia (10,000 - 100,000) wasajiliwe na wapatiwe mashine za kutolea risiti (EFD) na iwe wanatoa risiti na wateja nao wadai risiti, wateja nao wajue ili wajiepushe na ambao hawajasajiliwa, pia wajengewe utaratibu maalum wa kupimwa afya, uchambuzi mdogo ufuatao mtaona ni jinsi gani tunapoteza mapato:-
1. Uswahilini bao1 5,000/10,000 tuchukulie mmoja kwa siku anaweza kuingiza 50,000 sasa hapo akikatwa VAT 18% inakuwa kama 9000. Je wapo wangapi Tanzania nzima?

2. Kuna wa bao1 10,000, mmoja kwa siku anaweza kuingiza 100,000 sasa hapo akikatwa VAT 18% inakuwa kama 18,000. Je wapo wangapi Tanzania nzima?

3. Kuna wa bao3 25,000 na mmoja kwa siku anaweza kuingiza 75,000 sasa hapo akikatwa VAT 18% inakuwa kama 13,500, sasa je hao wa 75,000. Je wapo wangapi Tanzania nzima?

4. Kuna wale wa mtandao pendwa kike/kiume hawa mara nyingi bao1 50,000 na kwa siku wanaweza kuingiza hadi 150,000 sasa hapo akikatwa 18%VAT inakuwa kama 27,000 wapo wangapi Tanzania nzima?

5. Kuna wale wa kulala 100,000 hawa wakikatwa 18% VAT inakuwa kama 18,000 Je nao wapo wangapi Tanzania nzima?

6. Kuna wale Pro, hawa huanzia 300,000 kwa siku Wakikatwa 18% VAT ni sawa na 54,000. Je nao wapo wangapi Tanzania nzima?

7. Kuna wale ma Pro ambao hao bila 1Million huli mzigo kwa siku ambapo kundi hili wengine wanakwenda mpaka kimataifa, sasa hapo wakikatwa 18%VAT inakuwa kama 180,000. Je wapo wangapi Tanzania nzima?

Tukiangalia majumuisho kwa kila kundi tena kwa mmoja mmoja tunapata kama 319,500 kwa siku 1.

Tunapoteza mapato mengi sana......
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
Sisi kama taifa tumecheleweshwa sana kupata maendeleo
 
Nimeishauri serikali ihakikishe wanasajiliwa na wapate leseni na waanze kulipa kodi katika kuchangia uchumi wa nchi yetu , maana wanapata fedha nyingi sana bila kulipa kodi .
Nimesema niko tayari kuisaidia serikali juu ya hilo Taifa la uholanzi wameihalalisha hiyo biashara sasa wanapata kodi na watalii wanaenda kwa wingi huko sana .

Tutaweka sheria za mtu ambaye atakuwa tayari kufanya kazi hiyo hasa kigezo cha umri ,Afya na maeneo husika.

Nimeishauri kwa sasa Tuanze na majiji makubwa ambayo ni Dar ,Arusha ,Kwanza ,Mbeya na DODOMA .na miji midogo mfano Tunduma,Tarakea ,Mafinga nk.
 
Hii ilitokea siku moja nikiwa maeneo fulani yakujidai. Nilikuwa na jamaa zangu wawili hapo niliwatoa chimbo fulani lilikuwa limepoa pale Mwanza nikawapeleka C@sk. Kufika jamaa pombe ziko kichwani anataka mdau abadili oil, kulikuwa na warembo kama kawaida wengi hawataki waonekane wako kimitego. Basi jamaa kwa haraka zake akang'oa mali mbovu ilikuwa inapita. Jamaa mwingine akaondoka na mali kwa sura na shape imekaa vizuri.

Kesho jamaa ananiuliza vipi ile mali.... nikacheka sana nikamwambia alikuwa kakomaa sana basi jamaa akasema bora utelezi.
 
Back
Top Bottom