Biashara ya kukopesha: Ni vitu gani tofauti ya kuandikishiana naweza kuchukua kwa ninaye mkopesha?

Biashara ya kukopesha: Ni vitu gani tofauti ya kuandikishiana naweza kuchukua kwa ninaye mkopesha?

wolf5100 mkuu nimekuelewa sana somo lako. Nimeshalia sana, na kupoteza marafiki kwa mambo kama haya.
Tena bahati mbaya nilikua nawaazima watu kwa lengo la kuwasaidia bila riba, binadamu hatufanani na kulipa madeni ni kipaji.

Ahsante kwa somo.
 
Wakuu heshima yenu,
Nimeanza biashara ya kukopesha!! Nimeandaa daftar la kuandikishana Ila kuna watu wengi tunashindana kwa sababu kila wakija nawambia waniachie kitu ndo nimpe pesa wengine wanakataa kwan kungine hawaletewi masharti ya hivo!!
Nilkua naomba ushauri TOFAUTI NA KUANDIKISHANA NIFANYE NINI ILI NISIZURUMIKE ???
Ni Vitu gani unaweza ukachukua kama unataka kumkopesha MTU? (10000-100 000)
Kwa ushauri
Wataalam na wenye uzoefu tafadhari
Usije ukadanganyika kufanya hiyo biashara bila kuchukua dhamana kutoka kwa mkopaji.

Naongea from experience. Ni bora usifanye kabisa hiyo biashara kuliko kufanya bila dhamana.
 
wolf5100 mkuu nimekuelewa sana somo lako. Nimeshalia sana, na kupoteza marafiki kwa mambo kama haya.
Tena bahati mbaya nilikua nawaazima watu kwa lengo la kuwasaidia bila riba, binadamu hatufanani na kulipa madeni ni kipaji.

Ahsante kwa somo.
Mi SAA iz sina hamu usiwaamini watu kwa maneno yao!! Mi mwenyewe nimelizwa Mara kibao!! Sina hamu yaan!!! Ila kwenye hela hata awe mchungaji usimuamini
 
mimi pia ninafanya iyo biashara.sijaisajili bado kwa sababu ninabiashara nyingine naifanya inanikeep bize sana.sijapata muda hasa.
-utaratibu wangu unaacha dhamana kiwanja,hati ya kiwanja au nyumba,kadi ya gari na gari lenyewe,laptop,smart phone kwa kampuni za apple samsung sony htc,au hisa kwenye kampuni flani.
-dhamana unayoiacha ni lazima ivuke 87% ya pesa unayotaka.na huwa ninatoa 60% hadi 80% ya thamani ya dhamana.kulingana na dhamana yenyewe.
-cha muhimu ww kama c.e.o uwe na mwanasheria unayemwamini,uwe na proffesional surveyor kwa ajili ya evaluations,viwanja na nyumba.kingine uwe na watu 5 professional&mixer ambao watakuwa washauri wako.
-malipo ya mkopo wangu ni 17% kila mwezi kwa muda wa miezi 8 au 4.+ amount uliyochukua. yaani 17% kivyake na amount uliyochukua kivyake.wafanyabiashara wengi wamjini wanakopesha kwa 35% interest+ amount ulioichukua/utakayoichukua.
-loan processing fee yangu ni 9% inalipwa kabla au up on loan delivery.
-Ila kwa sasa nakopesha wafanyabiashara wa mazao,wakulima,wafanyabiashara wenzangu wa madini na wanaohitaji kuingia kwenye madini au kilimo/mazao.biashara nyingine ninayokopesha ni jumla na rejareja.Nakopesha wanaotaka kuingia kwenye biashara,cha muhimu dhamana.
-Pia mkopaji anasign transfer documents kwa mwanasheria wa hiyo dhamana yake kuja kwa jina langu.akishindwa kulipa ndani ya siku 90 kisheria namfilisi bila kusuburi sekunde.
-Biashara hii inautajiri wa haraka sana,kuna mbinu na ubunifu.
+255627575354
kweli maarifa n muhmu
mm nimepigwa pesa zangu hv hv ...nmekopesha afu watu wakankaushia
 
Back
Top Bottom