Asantee mkuu, ila natak n deal na kmoja..Vyote vinalipa
Sawa, asantee.Faida katika Biashara hizi zote mbili hutegemea mahali au uhitaji wa soko kuna mahali mayai trei yatauzwa 10000 na mahali pengine trei hio hio 4500.
Mkuu wapi trei inauzwa Tsh 4500???Faida katika Biashara hizi zote mbili hutegemea mahali au uhitaji wa soko kuna mahali mayai trei yatauzwa 10000 na mahali pengine trei hio hio 4500.
Asantee, [emoji120] nitafanyia kazi...Biashara yoyote inategemea masoko; kwahio huenda zote zisilipe (inabidi u-account kwa yafuatayo)
Chakula, Labour Cost na Muda..., gharama kubwa hapo ni chakula sasa kama ni kuku wa nyama imefika siku ya kuwauza ila unachukua wiki mbili kuwamaliza hapo ni wamekula chakula cha wiki mbili bure....
Kwenye mayai angalau utakuwa unatoa kidogo kidogo kulingana na soko kwahio huenda wasile bure..., ila je umeangalia mambo ya mortality (vifo, magonjwa n.k.) yaani risks involved ?
Na je muda wako ? (Muda unaoutumia hapo utakuwa na furaha - yaani unapenda unachokifanya) au utakuwa unanungunika hadi kupelekea magonjwa ya stress ?
In short kila kitu sio cha kila mtu, ushauri anza kidogo kidogo upate experience pili unaweza ukaanza kwa kuwa muuzaji (unachukua point A unauza B) all in all masoko ni muhimu sana tena sana....
Ilala trey ni 6500,chini ya hapo nielekeze ulipo nami nikanunueFaida katika Biashara hizi zote mbili hutegemea mahali au uhitaji wa soko kuna mahali mayai trei yatauzwa 10000 na mahali pengine trei hio hio 4500.
Mpotezee alikuwa anachangamsha genge tuIlala trey ni 6500,chini ya hapo nielekeze ulipo nami nikanunue
Aya, ngoja nijaribu wote nione wap Kuna soko.We anza kufuga wowote tu...changamoto zipo na zitakupa uzoefu...
KUfuga kuku 1000 unahitaji Banda la ukubwa gani?Kama una mtaji mdogo fuga wa nyama, baada ya wiki nne unauza. Kuku wa mayai inabidi uwe na mtaji wa kuwalisha miezi minne hadi mitano ndio uanze kupata hela wakianza kutaga.
kama m 10 kwa 6 pia uwe na stoo ya chakulaKUfuga kuku 1000 unahitaji Banda la ukubwa gani?
Poa sana kiongozi. Ngoja tujaribukama m 10 kwa 6 pia uwe na stoo ya chakula
Mkuu hii hesabu yako akiitumia kwa kuku wa mayai atapotea.kama m 10 kwa 6 pia uwe na stoo ya chakula