Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,910
Kama una 10M, basi nunua mzigo wa milioni 7 au nane then hiyo inayobaki ndo itakuwa kujazia kama hasara itatokea. Ila kwa uzoefu wangu haiwezi kushuka zaidi ya buku jero. Zingatoa usafi wa mzigo wako. Mwaka jana kuna watu walikesha godown wakichambua mizigo yao.
Kwasasa usinunue mzigo zaidi ya 1500...Kwa uzoefu wako mkuu ukisoma upepo wa mwaka huu unaona bei inaweza kuanzia sh.ngapi kwa kilo?